Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
LeBron bado ni mnyama aisee
He's still the best player in basketball.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LeBron bado ni mnyama aisee
KD has a long way to go to even be in a conversation of being better than this dude!Kwa hiyo KD ni zaidi ya mtu moja...kama ni hivyo tunasubiri nini kumvika taji la superman!
Yaani Jr. kama akiendelea angalau kufunga 15 points na Love akafunga 20+ per game, basi series yaweza kuwa ndefu! Ila inategemeana kama Cavs watacheza defense kama ya leo na ku-shoot efficiently!Single handed Mkuu!? What about Lebron's efforts together with supporting cast!?
Mbona mlikuwa mnalalamika kwamba LBJ na KI hawana wasaidizi? Kumbe mkifunga mnawakumbuka lakini mkifungwa mara oh, hawana contribution yoyote, yaani ni kama vile hawapo. Kwenye game zote tatu za mwanzo mliwaponda kweli kweli mkitishia kuwatosa wote pamoja na KL na kuanza kuwatafuta mara AD, mara PG, mara nani vile...kumbe hamwahitaji kihivyo! Good luck katika Game 5 Oracle Jumatatu.Yaani Jr. kama akiendelea angalau kufunga 15 points na Love akafunga 20+ per game, basi series yaweza kuwa ndefu! Ila inategemeana kama Cavs watacheza defense kama ya leo na ku-shoot efficiently!
[HASHTAG]#letsgocavs[/HASHTAG] [HASHTAG]#CavsIn7[/HASHTAG]
Mbona mlikuwa mnalalamika kwamba LBJ na KI hawana wasaidizi? Kumbe mkifunga mnawakumbuka lakini mkifungwa mara oh, hawana contribution yoyote, yaani ni kama vile hawapo. Kwenye game zote tatu za mwanzo mliwaponda kweli kweli mkitishia kuwatosa wote pamoja na KL na kuanza kuwatafuta mara AD, mara PG, mara nani vile...kumbe hamwahitaji kihivyo! Good luck katika Game 5 Oracle Jumatatu.
Single handed Mkuu!? What about Lebron's efforts together with supporting cast!?
Mkuu @KingShaat mimi nilishamaliza kwa kusema hakuna kitu kibaya kama kupigana na mtu ambaye hana cha kupoteza.. If we want this thing, we should take game 5 very seriously. Ikiwezekana hata kwa some changes in our line up.. We need Iggy in and Zaza out for starters, we need to start with a small lineup na tujitahidi tu kumaliza game on first quarter unless itakuwa a nightmare walking on our shadows.. Cavs leo waliamua tu kujitoa fahamu na kushoot ili wakipata inakuwa faida kwao na wakikosa hawana cha kupoteza.. Hiyo confidence ndio imewasaidia kutungua zile tatu tatu kila wakifanya attempt..Well, well, well!...Here we are again at the familiar if not ominous 3-1 mark!.
First off, my utmost sincere CONGRATULATIONS to the Cleveland Cavaliers and Cavs fans all over the world. You did perform superbly and defend the honor of your court. Kudos once again.
Second, my fellow Dubs fans...don't despair, don't lose faith, we still have 1 game to close this Series (unless the NBA gods are playing us in for a very cruel fate).
I always know and believe, the only sure way of putting that W out of GSW ever-reaching hands is for an opponent to maintain the double digit throughout the game AND consistently throughout the 4th quarter. And today, the Cavs did that well, kudos to them.
And here is one of my all time worries or should I say a "doubt" about any stretch of streak to finish perfect on any sport. This started well far back during the 2007 New England Patriots season - Wikipedia. There is something I hate about that "seeming" chase for perfect record and the "no one/team has ever come back from..." There is this tendency that, something is about to go totally the other way. That "No Team Has Ever Come Back From..." should be left to the books, sio katika modern times hizi asee, ,sio kwa team hii ya Cavs ambayo ina determination and talent ambayo ikitumika fresh inafanya maajabu.
Mpaka inafika time nasema "why can't we just play "low key", man?!" maana we play so good, so historically only to later on come under situations like these. It's as if we have a "3-X/Blowing up-Syndrome". Haha, pardon me Steph Curry and my ninja Mag3 sio kama naingiza upepo, nah...najiuliza tu "Why can't we get this thing done?!". Anyway, we have Oracle at our back this time, and I believe, by then...We will close this business and walk away the victors...otherwise...we'll have another cruel Meme-trolling off-season.
May the best team win, partners!.
Kama wengine tulivyoahidi toka mwanzo, timu ikifanya vizuri tutaipongeza bila kisingizio chochote...hata hivyo jana niliamua tu kuwafuatilia wananvyocheza wachezaji wawili wa GSW, Stephen Curry na Draymond Green.Asee!! Tunashukuru sana kwa appreciation japo nimeona wenzako Twitter wana lalamikia maamuzi ya marefa, ila nimeona ni lame excuses tu sababu hakuna pundit yoyote aliyeongea kuhusu refa na pia hata nikivyoingia huku sijakuta kingine zaidi ya congrats!
Asee!! Tunashukuru sana kwa appreciation japo nimeona wenzako Twitter wana lalamikia maamuzi ya marefa, ila nimeona ni lame excuses tu sababu hakuna pundit yoyote aliyeongea kuhusu refa na pia hata nikivyoingia huku sijakuta kingine zaidi ya congrats!
Ni kweli tunastahili pongezi kwa maana ile performance ya leo ilikuwa sio ya dunia hii,aggressiveness na umakini mkubwa umesaidia sana wakati huo watu kama zaza wakitupatia free throws za mara kwa mara, ilifanya game iwe nzuri sana kuangalia hadi mwisho! Natamani sana hata game 3 tungecheza vizuri mpaka last sec kama ilivyokuwa leo.
Pia nimependa sana Kyrie alivyokuwa na accuracy yaani kila alivyofanya jumping alinifurahisha na hasa baada ya kuwa outscore splash brothers(27 points combined) kwa 40 points. Love leo kasawazisha zile misses za juzi.
Japo nafahamu huko tunapokuja sio salama kabisa, ila kwa confidence hii niliyoiona Leo najipa matumaini series inaweza kuendelea zaidi na zaidi.
Na mimi pia nawapa hongera mkuu, kwenda 15-0 sio mchezo almanusura mtutie aibu ya karne! Ila na nyie nao yaani mlitaka mtupige ufagio wabingwa watetezi kabisa halafu hatuna hata majeruhi!? Huu ushindi wa Leo umenipa furaha sana.