NBA 2016/2017 Season Special Thread

Game bado mbichi hii,CAVS wanapunguza gap taratibu.Zaza ni mzigo kwa GSW
 
Duuh japo tunaongoza lakini bado jamaa cavs wanataka kulazimisha mambo.
 
Anajitahidi kwa kweli lakini wengine ndiyo hivyo tena pamoja na kuanza vizuri sana kuna dakika walizembea GSW wakafanya yao. Kama quarter ya tatu mwishoni gap ni kati ya 5 to 6 points then we have a ball game which can go either way.
Robo ya tatu hiyo tofauti ya pwenti 5 hizo tuone itakuwaje!
 
Reactions: BAK
Anything can happen at this point...

Imekuwa moja ya fainali nzuri...hii
 
That's anything can hardly change the expected results
Hahaha...

Napenda GSW wabebe kwa sababu tu am a huge fan of KD(huyu jamaa anadeserve kuwa na ring buanaaa)...

Ila siwadharau CAVS kwa sababu kwa upande mwingine am a huge fan of LBJ too...natambua uwezo wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…