Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Game ishaisha hii.. Q3 watatembea na ulimi maana naona Bron tayari kashachokaKwa game inavyokwenda ni ngumu sana kwenda penye game 7 kama gsw wakiendelea kukaza na kuacha wastani wa vikapu 5 tofauti ni wazi hakutokuwa na 7.