NBA 2016/2017 Season Special Thread

Kabisaa! Bora tu iwe two horse title race kama laliga, tena ikiwezekana tumsogeze na Russell W. Kabisa kwa maana hata yeye pia anahitaji ring akiwa bado kwenye prime.

Dah, ila raha ya game itakufa kabisa.

Watu mnafatilia regular season mlishajua nani anaingia Finals.
 
Dah, ila raha ya game itakufa kabisa.

Watu mnafatilia regular season mlishajua nani anaingia Finals.
And this is what happened in this just finished season. Wakati msimu unaanza zaidi ya 98% ya pundits wote walitabiri fainali ni GSW na CAVS, na hapo hapo zaidi ya 55% walisema warriors ndio atachukua ubingwa!

Kuna watu wanasema NBA is losing fans na hasa uko mbele kuna uwezekano mkubwa watu wakawa wanaangalia fainali tu kwa sababu ya superiority ya hizi timu mbili tu. Hali kama hii imewahi kutokea miaka ya nyuma enzi za utawala wa Celtics, yaani ilikuwa haipiti misimu mitatu hawajakutana fainali kati ya Celtics na Lakers!.

Sasa hata hivi naona tunarudi kule kule, CAVS na Warriors dominance! The game is getting boring
 
Hahaha wakuu Lizarazu na Raimundo habari za masiku!. Kwenye kushabikia ushindi hakuna tofauti sana na harusi. Yaani ukishashinda tu, time span ya wewe kama mshabiki kuwa "elated" na kuwa na mzuka na huo ushindi hauzidi masaa 48, labda iwe a case of "drought" ndo utaona watu wanashangilia hata zaidi ya 48HRS.

Yaani harusi imeshakwisha afu bado una mzuka iendelee na siku ya pili na ya tatu?! 😕. Na mimi huwa naamini kwamba ukijua ushindi, jua pia na kuwa na staha katika namna unafurahia mbele za uliowashinda. I don't see any need for the "unnecessary" celebration over what's been done quick
 
Salama kaka!

Umesomeka kabisa. Karibu kwa updates

Unaonaje ujio wa Paul George unaonukia pale Quicken Loan?
 
Wewe sasa ndio unawaharibia sherehe kabisa, wao hawataki kuskia hayo!

Anyway kingshat,Mag3,George,curry,mazigazi bado hamjatoka tu huko Whitehouse tangu muende alhamisi!?
Hahahahahah daaah ubingwa ulikuwa mtamu .

Bruv! Tukutane next season sie basketball fans Wa humu ni ndugu bhana!

Raimundo acha zako!!![emoji15]
 
Good move for Butler, but could possibly be a bad move for Bulls.

Hata kwa Butler siyo good move, at least kwa mtazamo wangu, kwa sababu ile siyo winning team na kwa level ya Butler kuendelea kuwa kwenye rebuilding ni headache.

Nadhani atakapokuwa free agent atachagua timu anayoitaka.
 
Draymond Green & Stephen Curry win the fan vote for Assist of the Year!

Russell Westbrook is the 2016-17 KIA NBA Most Valuable Player!


Defense wins CHAMPIONSHIPS! Congrats to @Money23Green for winning the NBA Kia Defensive Player Of The Year award!


Kevin Durant wins the fan vote for Best Playoff Moment!


.@KlayThompson takes the fan vote for Performance of the Year!

The 2017 NBA Coach of the Year is...Mike D'Antoni of the @HoustonRockets!

The 2017 NBA Executive of the Year is Bob Myers of the @warriors!

Kawhi Leonard wins the fan vote for Block of the Year!








[HASHTAG]#NBAAwards[/HASHTAG]
 
Find a tissue please!

 
Chris Paul to Rockets and Anthony Carmelo might join him to form another formidable super team with The Beard in the West
 
Paul George has been traded to the Oklahoma City Thunder
 
Stephen Curry is now the highest paid player in the NBA as he receives the biggest contract in NBA history. [emoji383] A 5-year, $201M deal with Golden State
 
Most popular NBA players based on jerseys sold:
1. Stephen Curry
2. LeBron James
3. Kevin Durant
 
If anyone's still questioning who the motor and MVP of the Warriors is....

It's Stephen Curry


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…