I wonder what the problem was........Was it Kobe's Presence or Lack of A good Coaching Staff?They are very promising now..Tyta Lakers wanaelekea kushinda game ya Kings, nilikuwa nimewakatia tamaa lakini naona wamepiga comeback!
Trailing by 19 first half, now up by 10, 3 minutes to time.
Kudos to Luke Walton.
I wonder what the problem was........Was it Kobe's Presence or Lack of A good Coaching Staff?They are very promising now..
Lebron has shown maturity via his social media account.He urged people to be positive and move on,unlike his teammate,JR Smiths...Alichopost kwenye instagram yake ni upuuzi mtupu.Nilijua watakutana na Trump, make naye alikuwa na kikao na Obama cha kukabidhiana ofisi.
Nilikuwa nawaza LBJ ataongea nini make alivyomkampenia Mama Clinton Ohio na bado Trump akashinda hiyo hiyo Ohio.
Lebron has shown maturity via his social media account.He urged people to be positive and move on,unlike his teammate,JR Smiths...Alichopost kwenye instagram yake ni upuuzi mtupu.
The First Championship(After a very long time) Lebron brought to Cleveland and His Public endorsement of Hillary did enough for Democrats to win Cleveland but not Ohio.
Mpaka msimu unaisha atakuwa anakula sahani moja na Shaq.
Na curry unamuacha vpKama ataendelea kuwa healthy kwa miaka mingine 5 mpaka 7 na production yake iendelee kuwa at the current level au ishuke slightly basi huyu anaweza kumfunika hata Kareem Abdul Jabar.
Na curry unamuacha vp
Anafikiri Curry ni rookie! Kumbe msimu wa 9 sijui!Curry ana ngapi na ana umri gani mkuu?
Babu mi najua basiAnafikiri Curry ni rookie! Kumbe msimu wa 9 sijui!
NBA records:
(1) 10+ 3 pointers in the 1st 9 games in the season, Cavs
(2) 726 consecutive games with 10+ points, LBJ (MJ leads with 866 games, LBJ 3rd.)
[HASHTAG]#letsgocavs[/HASHTAG]
Ha ha ha! Nimechangamsha jukwaa tu..maana limepooza!Nilidhani mambo ya marekodi umewaachia wazee wa marekodi [Golden State Wussies]...
Don't jinx 'em now 😀