NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Oyoooo, niaje mkuu Raimundo na wanafamilia wenzangu wa huu uzi maridadi. Dah, kwanza mnisamehe bure ndugu yenu, haya majukumu ya kazi na kushinda mda mrefu maporini ndo kunafanya napitwa sana na maendeleo ya ligi hii pendwa.
Dah, leo ndo nimepata ka'2G sehemu nkaingia ESPN. Duh, tushachapwa gemu mbili tayari.
Vipi, KD anafit chemistry ya kina Curry and Co.?
Ila pamoja na kupoteza hizo gemu mbili, nafurahi kijana ameweka record nyingine kwenye tasnia anayoiwezaga akiwa fresh..

Nimewamiss sana wakuu wangu, Mag3, Steph Curry, Nyani Ngabu, Raimundo, @Alegria de Povo, BAC, Nzi, na wengine wote wakongwe kwa wageni.
He fits very well though bado timu inatafuta chemistry... Wakielewana vyema na bench likiwa zuri basi kazi tumemaliza..

Ready for Dallas now..
 
Mandevu anawaua Spurs huku... 15 Assist with 6 minutes to play...

Naona anataka uMVP msimu huu..
 
The Numbers are astonishing......
Cw4IcvMXEAAuNPH.jpg
 
Bora tuwe inconsistent ili trollers wapate cha kusema...😀😀😀...
La sivyo tunaweza tusiwaone msimu mzima humu...
GSW ni kama maji...
Usipoyanywa,basi ni lazima utayaoga..!
Cavs wamepoteza,OKC wamepoteza...
Watu wako kimya...
Akipoteza GSW,kuna watu utashangaa hata walipotokea...
Me nahisi hawa Anti-GSW wameacha kuangalia games za timu zao,kilichobaki wanaangalia games za GSW tu..!
That's why timu zao zikifungwa HAWATAMBUI..!
Go Steph...
Go Warriors..!
 
Ligi hii huwezi kumaliza bila kufungwa mkuu, na ukifungwa unajipanga.
Mkuu...
Mashabiki wa GSW wako SMART sana...
Pamoja na Cavs kula kichapo,naona wamekaa KIMYA...
Wako busy na GSW yao tu...
Jambo ambalo hauwezi kuliona GSW ikipigwa..!
 
Back
Top Bottom