Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
He fits very well though bado timu inatafuta chemistry... Wakielewana vyema na bench likiwa zuri basi kazi tumemaliza..Oyoooo, niaje mkuu Raimundo na wanafamilia wenzangu wa huu uzi maridadi. Dah, kwanza mnisamehe bure ndugu yenu, haya majukumu ya kazi na kushinda mda mrefu maporini ndo kunafanya napitwa sana na maendeleo ya ligi hii pendwa.
Dah, leo ndo nimepata ka'2G sehemu nkaingia ESPN. Duh, tushachapwa gemu mbili tayari.
Vipi, KD anafit chemistry ya kina Curry and Co.?
Ila pamoja na kupoteza hizo gemu mbili, nafurahi kijana ameweka record nyingine kwenye tasnia anayoiwezaga akiwa fresh..
Nimewamiss sana wakuu wangu, Mag3, Steph Curry, Nyani Ngabu, Raimundo, @Alegria de Povo, BAC, Nzi, na wengine wote wakongwe kwa wageni.
Ready for Dallas now..