NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Screenshot_20161108-085616.png

Overrated player anaendelea kufanya yake..!
Go go Curry...
Sijutii kuwa shabiki yako..!
 
Tyta, Mag3, Steph Curry, King Shaat (jamaa sijamwona muda huyu), Alegria do povo na GSWs wengine humu, kwa anachokifanya Lakers this time vs anachofanya GSWs kwa vikosi walivyonavyo, nalazimika kufikiria kwamba Walton alikuwa na mchango mkubwa sana kwa mafanikio yenu kwa hii miaka miwili iliyopita.

Msimu huu tutajua kama Coach Kerr anajua anachofanya au ndo zile za kuchukua timu nzuri, na una back up coaches nzuri then mafanikio yanakuangukia wewe.
Oyoooo, niaje mkuu Raimundo na wanafamilia wenzangu wa huu uzi maridadi. Dah, kwanza mnisamehe bure ndugu yenu, haya majukumu ya kazi na kushinda mda mrefu maporini ndo kunafanya napitwa sana na maendeleo ya ligi hii pendwa.
Dah, leo ndo nimepata ka'2G sehemu nkaingia ESPN. Duh, tushachapwa gemu mbili tayari.
Vipi, KD anafit chemistry ya kina Curry and Co.?
Ila pamoja na kupoteza hizo gemu mbili, nafurahi kijana ameweka record nyingine kwenye tasnia anayoiwezaga akiwa fresh..

Nimewamiss sana wakuu wangu, Mag3, Steph Curry, Nyani Ngabu, Raimundo, @Alegria de Povo, BAC, Nzi, na wengine wote wakongwe kwa wageni.
 
Naona itafika pahala Curry akishindwa kuvunja rekodi na hiyo nayo itaitwa rekodi. Yaani kwake kushindwa kuweka rekodi mpya nako kutatambulika kama ni rekodi!

Huyu kijana kwa kweli hawezekani na hatatokea mwingine kama Steph Curry. Kila akiweka rekodi mpya inakuwa Ni swala Tu la kumsubiri yeye huyo huyo aje tena aivunje.

Naungana na Nyani Ngabu kumponda Curry kwa uchoyo...kwa nini yeye Tu? Kwa nini hawapi nafasi kina Kyrie, Kevin, Russ na Hata King? Na mimi naanza kumchukia sasa.
 
Naona itafika pahala Curry akishindwa kuvunja rekodi na hiyo mayo itaitwa rekodi. Yaani kwake kushindwa kuweka rekodi mpya nako kutatambulika kama ni rekodi!

Huyu kijana kwa kweli hawezekani na hatatokea mwingine kama Steph Curry. Kila akiweka rekodi mpya inakuwa Ni swala Tu la kumsubiri yeye huyo huyo aje tena aivunje.

Naungana na Nyani Ngabu kumponda Curry kwa uchoyo...kwa nini yeye Tu? Kwa nini hawapi nafasi kina Kyrie, Kevin, Russ na Hata King? Na mimi naanza kumchukia sasa.

Wazee wa marekodi mnachekesha sana.

Yaani mnavunja kila aina za rekodi...za ushindi...za kushindwa....you name it.

Hivi unajua hata ku blow 3-1 kwenye NBA Finals nayo ni rekodi?

😀😀😀😀😀
 
For what it's worth....each time a LeBron James' team started the season 5-1 or better, that team went on to win the chip.

That's for those who believe in superstition, I think.
 
Wazee wa marekodi mnachekesha sana.

Hivi unajua hata ku blow 3-1 kwenye NBA Finals nayo ni rekodi?

😀😀😀😀😀
Naam, how darn right you are! Juzi Curry kaandika rekodi mpya ya kutofunga 3-pointer kwenye game yao na Lakers, there...!
 
Stephen ni Mzuri kwa Tatu kiliko 2 ... kapiga 46 hatari sana
 
Naam, how darn right you are! Juzi Curry kaandika rekodi mpya ya kutofunga 3-pointer kwenye game yao na Lakers, there...!

Vipi, msimu huu mtatwaa ubingwa kama msimu ulopita?
 
Back
Top Bottom