George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Overrated player anaendelea kufanya yake..!
Go go Curry...
Sijutii kuwa shabiki yako..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana tumechinja huko mamaeeeeGSW 97- 117 Lakers
Hii ndo shughuli yake kuu, kuvunja record, na anaiweza.
Oyoooo, niaje mkuu Raimundo na wanafamilia wenzangu wa huu uzi maridadi. Dah, kwanza mnisamehe bure ndugu yenu, haya majukumu ya kazi na kushinda mda mrefu maporini ndo kunafanya napitwa sana na maendeleo ya ligi hii pendwa.Tyta, Mag3, Steph Curry, King Shaat (jamaa sijamwona muda huyu), Alegria do povo na GSWs wengine humu, kwa anachokifanya Lakers this time vs anachofanya GSWs kwa vikosi walivyonavyo, nalazimika kufikiria kwamba Walton alikuwa na mchango mkubwa sana kwa mafanikio yenu kwa hii miaka miwili iliyopita.
Msimu huu tutajua kama Coach Kerr anajua anachofanya au ndo zile za kuchukua timu nzuri, na una back up coaches nzuri then mafanikio yanakuangukia wewe.
Naona itafika pahala Curry akishindwa kuvunja rekodi na hiyo mayo itaitwa rekodi. Yaani kwake kushindwa kuweka rekodi mpya nako kutatambulika kama ni rekodi!
Huyu kijana kwa kweli hawezekani na hatatokea mwingine kama Steph Curry. Kila akiweka rekodi mpya inakuwa Ni swala Tu la kumsubiri yeye huyo huyo aje tena aivunje.
Naungana na Nyani Ngabu kumponda Curry kwa uchoyo...kwa nini yeye Tu? Kwa nini hawapi nafasi kina Kyrie, Kevin, Russ na Hata King? Na mimi naanza kumchukia sasa.
Defend the land
Unajua kucheza basket ball??Which land? Believeland?
Unajua kucheza basket ball??
Ndio masomo uliyofaulu etiHapana, najua kucheza mgegedo-ball.
Naam, how darn right you are! Juzi Curry kaandika rekodi mpya ya kutofunga 3-pointer kwenye game yao na Lakers, there...!Wazee wa marekodi mnachekesha sana.
Hivi unajua hata ku blow 3-1 kwenye NBA Finals nayo ni rekodi?
😀😀😀😀😀
Naam, how darn right you are! Juzi Curry kaandika rekodi mpya ya kutofunga 3-pointer kwenye game yao na Lakers, there...!
Vipi, msimu huu mtatwaa ubingwa kama msimu ulopita?
Naungana na Nyani Ngabu kumponda Curry kwa uchoyo...kwa nini yeye Tu? Kwa nini hawapi nafasi kina Kyrie, Kevin, Russ na Hata King? Na mimi naanza kumchukia sasa.
Mkuu...Ha ha ha, acha wavunje rekodi, ubingwa siyo wa kwao.
Kwanza kuvuka West kwenyewe ni shughuli.