NBA 2016/2017 Season Special Thread

Timberwolves wanachezea SHARUBU za Simba..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
 
The King with another triple double, his third of the season:

26 points
10 rebounds
13 assists

[HASHTAG]#DefendtheLand[/HASHTAG]
 
Wazee wa Superteam leo kuna kila dalili za kupigwa za kupigwa na ATL.

Komaeni lakini.
 
Wazee wa Superteam leo kuna kila dalili za kupigwa za kupigwa na ATL.

Komaeni lakini.
Ahahaaaaaah...
GSW ni kama maji..!
Kwa jinsi ulivyo na shauku naona hapo ulipo kama hauangalii game basi unachungulia matokeo kila muda mkuu..!
Pia unasubiri kwa hamu kuona GSW anapoteza hii game...
Ahahaaaaaaah...
Muda ndio msema KWELI...
Let's wait and see...
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
 
Mkuu nachungulia matokeo mkuu, vipi kwa tathmini ya game unaona mtatoka?
 
Walianza kwa mkwara kweli watu tukawa tunawachora tu teh teh teh..

Ghafla wakaenda kwenye 4 games losing streak, sasa wako kwenye 2 games losing streak.. Next Nuggets..

Hahahahha jamani jamani niombee this time nifike final without KD
 
Giannis Antetokounmpo wa Bucks keshaua mtu huko Milwaukee, Wisconsin...(34 pts in 34 minutes!), Raimundo kimyaaa. Jason Kidd kampiga stop bwana mdogo Tyronn Lue akimwambia not so fast, with or without King!. Mpaka kipenga cha mwisho; Bucks...118, CAVs...101😱😱😱
 
Dah noma sana, anyway it's just a regular season game.

JR Smith needs to up his game, though huwa yuko inconsistent, this time namwona yuko consistent on the wrong side.
 
Dah noma sana, anyway it's just a regular season game.

JR Smith needs to up his game, though huwa yuko inconsistent, this time namwona yuko consistent on the wrong side.
Ulitazama game lakini? Jana ulikuwa ukiripoti GSW walivyokuwa wakisulubiwa na Hawks lakini leo ukawa kimya ndio nikaona niku beep popote ulipo. Samahani lakini...King alijitahidi sana kuokoa jahazi lakini vijana wa Milwaukee wakakataa kukopesha.
 
Game nimeangalia mpaka quarter ya tatu ilivyoisha nikapumzika, nilijua comeback itakuwa ngumu hasa kwa hizi regular season games, hakukuwa na motivation ya comeback.
 
All 6 NBA games on Tuesday were won by the team with the worse record. The Elias Sports Bureau notes that this is the 2nd day in NBA history that that happened (minimum 6 games played in a day, at least 15 games into the season). The other instance was on Jan. 7, 1969 (also all 6 games).

How the upsets happened: Big night for NBA underdogs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…