Chill out bruh! Kwani ni uongo kwamba Green is the real MVP in the literal sense of being the most valuable player? Licha ya hivyo, hakuondoi ukweli kwamba Curry ni mzuri pia; lakini kwenye timu Green ni muhimu zaidi ya Curry. Hapa siyo suala la kumkubali Curry au lah! Yes, Curry may be an NBA superstar, but he aint the MVP in his team. And this is what Jordan and Lebron special: their presences carry teams, and their absences make the teams lose games. Yes, hawafanyi kila kitu, lakini wakikosekana kwenye timu, timu haifanyi kitu. Ndivyo alivyo Green kwa GSW. Kukosekana kwa Curry hapo GSW hakuna madhara kama kukosekana kwa Green! This is a proven fact na ushahidi upo.
By the way, kwani Bron akitweet Curry ni special does it make his opinion authoritative?