Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haa Raimundo, kweli wewe matata ila unasahau kitu kimoja kuhusu hesabu na hasa zile za shule ya msingi. Mbona hesabu hazidanganyi jamani, here we go...je, unakubali kuwa;
- kama chungwa moja ni shilindi ishirini, machungwa manne ni shilingi themanini?
- kama unatembea maili moja kwa dakika thelathini, kwa saa mbili utatembea maili nne?
- kama mtu moja unamaliza sahani ya ugali, watu wanne mtamaliza masahani mangapi?
- kama hatua moja ina urefu wa futi tatu, hatua nne zina urefu gani?
- Kama kwa dakika moja unafunga vikapu viwili, kwa dakika nne utafunga vikapu vingapi?
Nitarudi baadaye...!
Foot Locker CEO Johnson also said it's still "early days" to completely judge the Curry 3. With time Huenda ikawa vile inavyotarajiwa
Mkuu mimi nimeandika current situation, wakati uliopo!
Hiyo ya wakati ujao ndo kama hivyo unavyosema "Huenda" (huenda ni probability).