NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

15194482_10154568223163463_4483999400132363553_o.jpg
 
Ha ha haa Raimundo, kweli wewe matata ila unasahau kitu kimoja kuhusu hesabu na hasa zile za shule ya msingi. Mbona hesabu hazidanganyi jamani, here we go...je, unakubali kuwa;
  • kama chungwa moja ni shilindi ishirini, machungwa manne ni shilingi themanini?
  • kama unatembea maili moja kwa dakika thelathini, kwa saa mbili utatembea maili nne?
  • kama mtu moja unamaliza sahani ya ugali, watu wanne mtamaliza masahani mangapi?
  • kama hatua moja ina urefu wa futi tatu, hatua nne zina urefu gani?
  • Kama kwa dakika moja unafunga vikapu viwili, kwa dakika nne utafunga vikapu vingapi?
Nitarudi baadaye...!​

Ndo maana ninasema mnafanya unrealistic projections, kwa hiyo kwa vile eti hizo hesabu zako ni za kweli basi mtascore 200 points game moja, Steph Curry atascore 102 kwa dkk 30, Clay atascore 148 kwa quarter 4.

Naongeza dau mpaka $200
 
Foot Locker CEO Johnson also said it's still "early days" to completely judge the Curry 3. With time Huenda ikawa vile inavyotarajiwa

Mkuu mimi nimeandika current situation, wakati uliopo!

Hiyo ya wakati ujao ndo kama hivyo unavyosema "Huenda" (huenda ni probability).
 
Back
Top Bottom