I love this game! HT GSW 55 CAVS 52
Hii ni moja ya games nzuri za regular season, ila inaonekana Curry ni inferior kwa LBJ, hafurukuti.
Namwona KD atakuwa muhimu sana kwenye Finals kama hizi timu zitakutana.
Curry ni kitoto kidogo sana kwa King james.Hii ni moja ya games nzuri za regular season, ila inaonekana Curry ni inferior kwa LBJ, hafurukuti.
Namwona KD atakuwa muhimu sana kwenye Finals kama hizi timu zitakutana.
Curry kathibitiwa sana leo kama sio yeye.
Na kweli nyie ni vi "baby" maana unavyopata huruma ya refaGsw baby