NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

I love this game! HT GSW 55 CAVS 52
 
I love this game! HT GSW 55 CAVS 52

Hii ni moja ya games nzuri za regular season, ila inaonekana Curry ni inferior kwa LBJ, hafurukuti.

Namwona KD atakuwa muhimu sana kwenye Finals kama hizi timu zitakutana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Timu zote zimenuia kushinda hii game ya leo hivyo kuongeza ushindani. Lebron kamdhibiti vizuri Curry wakiweza kumdhibiti Durant kipindi cha pili basi wanaweza kushinda hii game.

Hii ni moja ya games nzuri za regular season, ila inaonekana Curry ni inferior kwa LBJ, hafurukuti.

Namwona KD atakuwa muhimu sana kwenye Finals kama hizi timu zitakutana.
 
Hii ni moja ya games nzuri za regular season, ila inaonekana Curry ni inferior kwa LBJ, hafurukuti.

Namwona KD atakuwa muhimu sana kwenye Finals kama hizi timu zitakutana.
Curry ni kitoto kidogo sana kwa King james.

Hebu angalia zinapita dk 7 hana point hana point.
 
Ila Klay ametulia sana leo yaani kila akilenga hakosei.
 
Hawa worrior babies leo wanajilegeza sana, yaani kama wanacheza na huruma ya marefa.
 
02411fda37ec0097f09f50aad2f20d52.jpg
huyu jamaa ametupania sana leo.
 
Hawa marefa naona wako upande wa worriors hizi fouls ni za kipuuzi sana
 
Back
Top Bottom