Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Kijana leo ulikumbuka kutafuta Konyagi?Ngoja nitafute Konyagi ya kusindikizia hii game;
Mag3, Steph Curry, Alegria do povo, King Shaat, George Betram, Tyta, Nzi, BAK (tayari nimekuona mkuu), Watu8, Nyani Ngabu, Bufa, Soso J na wadau wengine tujumiuike pamoja.
Merry X Mass kwa wadau wa uzi huu.
Welp... Just a regular season game..
GSW leo wana hasira sana... Ngoja tuone hadi mwisho itakuwaje.
Kijana leo ulikumbuka kutafuta Konyagi?
Happy new year to u too.. Nitarudi All Star Game then Play offs.. Nawaachia jukwaaMkuu Heri ya Mwaka Mpya?
Hii game ni kama tumekuja kunusa harufu ya shampeni tu turudi kwetu, hali si hali leo.
Warriors kama kawaida...[HASHTAG]#kupaniagame[/HASHTAG]
BTW, Cavs have been poor offensively tonight, 4 assists against 26, with 34% FG made against 62!!
Mkuu nimecheki latest games naona kama ball distribution siyo nzuri kivile, hata game tuliyowafunga GSWs hakukuwa na movement nzuri kama ile ya mechi za mwanzo wa ligi.
Hii kitu inabidi iwe addressed immediately, kwa sababu naamini kwa addition ya Kyle ball movement inabidi iwe ya ukweli ili aweze kuwa kwenye nafasi za catch and shoot.
Habari yako kaka Raimundo..?Hii kitu imeendelea kujitokeza tena!
Ni kweli, kuna msiba mkubwa huko Oracle!Namaanisha hiyo tarehe 16 pale oracle arena CAVS wataacha msiba na mashabiki wa warriors tutawaona wakilia lia kama kawaida yao, kwa maana hamnaga excuse nyingine zaidi ya kuwalilia marefa.
Ahahaaaaaaah...Ni kweli, kuna msiba mkubwa huko Oracle!
Coach Lue atalipatia suluhisho soon, naamini...Hii kitu imeendelea kujitokeza tena!