NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Back home to Q Arena after a long West Coast trip, winning 3 and losing 3....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni matumaini tutakutana finals maana hakuna timu zilizowahi kukutana finals mara 3 mfululizo tunaomba itokee mwaka huu
 
Chunga maneno yako! Historia hujirudia eh? Watch out msije ku-blow out a 3-1 lead in the Finals tena!!
Tumekata mzizi wa fitna, naomba sasa tusiendeleze ubishi jukwaani, tufuatilie tu yanayojiri uwanjani. Nawatakia wote kila la heri huko mbele ya safari.
 
Wakuu...
Nimechelewa kuamka...
Nimejikuta nimekosa sehemu kubwa sana ya hii game...
Hivi ninawezaje kuidowload hii game ikiisha..?
Au haiwezekani..?
cc
Lizarazu
Bila shaka itarudiwa leo usiku na kesho mchana, ngoja nicheki saa...
 
Mkuu Mag3 kukata mzizi wa fitina kwa maoni yangu ni pale ambapo CAVS na GSW watakapokutana kwenye 2017 NBA Finals na GSW kuweza kurudisha kipigo cha 2016 pamoja na kuwa mbele kwa 3-1 plus home advantage. Hongera kwa kushinda leo lakini ushindi huu haumanishi chochote kuelekea NBA playoffs za msimu huu. Shukrani Mkuu.

Tumekata mzizi wa fitna, naomba sasa tusiendeleze ubishi jukwaani, tufuatilie tu yanayojiri uwanjani. Nawatakia wote kila la heri huko mbele ya safari.
 
Tumekata mzizi wa fitna, naomba sasa tusiendeleze ubishi jukwaani, tufuatilie tu yanayojiri uwanjani. Nawatakia wote kila la heri huko mbele ya safari.
Mzizi gani wa fitna? Kwa sababu it is even (1-1) so far kwenye regular season...
 
Mie simlaumu Lebron kwa hili alilolifanya leo. Last season game six Curry alipumua kwa nguvu bila kumgusa jamaa akaanguka, sembuse hii aliyogongwa na Green? Tena hii nahisi kang'olewa kidevu bila kuguswa. Maana mtu kaguswa Bega anavuta kidevu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Lebron ain't Kobe nor Jordan despite how talented he's.
 
Karibu sana boss, siku nyingi sana mmetuachia kijiwe.
 
Mkuu Mag3 kukata mzizi wa fitina kwa maoni yangu ni pale ambapo CAVS na GSW watakapokutana kwenye 2017 NBA Finals na GSW kuweza kurudisha kipigo cha 2016 pamoja na kuwa mbele kwa 3-1 plus home advantage. Hongera kwa kushinda leo lakini ushindi huu haumanishi chochote kuelekea NBA playoffs za msimu huu. Shukrani Mkuu.

Jamaa huwa anaelewa ila anajisahaulisha eti.

Ha ha ha, Mag3 bana eti wamekata mzizi wa fitna!
 
Je umeufuatilia mchezo? Hata 200 tungeweza kupiga ila tu basi hatutaki kuwakatisha tamaa. Unakumbuka picha iliyowekwa humu ya Kyrie Irving? Hiyo ndiyo sababu ya kipigo cha leo cha mbwa mwizi, kuna mtu aliamua kuchezea sharubu za simba! Tulitaka tu iwe lesson siku nyingine msilete masihara la sivyo kipigo mtakachopata hamtakisahau, eti LeBron, who is LeBron!
 
Ha ha ha, mkuu hata 500 mnaweza kabisa, maana nyie si watu wa mchezo mchezo, ivi mmeshawahi kufikisha 150 mara ngapi vile?
 
Mpaka leo hatujapata sababu ya kuwafunga watu vikapu vyote hivyo lakini mkizidi kuleta za kuleta hatutakuwa na namna, itabidi tufanye kweli. Fikiria mtu moja tu anafunga pointi 60 kwa dakika 20! Sasa huyo mtu tusipomfunga luku si anaweza kufanya watu wanywe sumu. Hapana, nia yetu si kuua watu, ni burudani tu watu wanataka.
 
Ha ha ha, nachokupendea wewe siyo kama wenzako wanaokimbia mkifungwa, maana kuna watu mpaka wamesusia jukwaa toka Finals, wanachungulia tu.
 
Je ulimuona Nyani Ngabu alivyoingia humu haraka haraka ile Desemba 25, 2016? Leo hata kunusa, thubutuuu...

e18419e8ebd81f4c0e898a825db81f7a.jpg

Unakumbuka hii? Leo hata picha Kyrie imepotea​
 
Back
Top Bottom