Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chunga maneno yako! Historia hujirudia eh? Watch out msije ku-blow out a 3-1 lead in the Finals tena!!mimi nikamkumbusha jinsi historia hujirudia!
Tumekata mzizi wa fitna, naomba sasa tusiendeleze ubishi jukwaani, tufuatilie tu yanayojiri uwanjani. Nawatakia wote kila la heri huko mbele ya safari.Chunga maneno yako! Historia hujirudia eh? Watch out msije ku-blow out a 3-1 lead in the Finals tena!!
Tumekata mzizi wa fitna, naomba sasa tusiendeleze ubishi jukwaani, tufuatilie tu yanayojiri uwanjani. Nawatakia wote kila la heri huko mbele ya safari.
Mzizi gani wa fitna? Kwa sababu it is even (1-1) so far kwenye regular season...Tumekata mzizi wa fitna, naomba sasa tusiendeleze ubishi jukwaani, tufuatilie tu yanayojiri uwanjani. Nawatakia wote kila la heri huko mbele ya safari.
Nilimkumbusha Raimundo, akaniambia ya kale hayanuki na mimi nikamkumbusha jinsi historia hujirudia!
Mie simlaumu Lebron kwa hili alilolifanya leo. Last season game six Curry alipumua kwa nguvu bila kumgusa jamaa akaanguka, sembuse hii aliyogongwa na Green? Tena hii nahisi kang'olewa kidevu bila kuguswa. Maana mtu kaguswa Bega anavuta kidevu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Lebron ain't Kobe nor Jordan despite how talented he's.
Mkuu Mag3 kukata mzizi wa fitina kwa maoni yangu ni pale ambapo CAVS na GSW watakapokutana kwenye 2017 NBA Finals na GSW kuweza kurudisha kipigo cha 2016 pamoja na kuwa mbele kwa 3-1 plus home advantage. Hongera kwa kushinda leo lakini ushindi huu haumanishi chochote kuelekea NBA playoffs za msimu huu. Shukrani Mkuu.
Je umeufuatilia mchezo? Hata 200 tungeweza kupiga ila tu basi hatutaki kuwakatisha tamaa. Unakumbuka picha iliyowekwa humu ya Kyrie Irving? Hiyo ndiyo sababu ya kipigo cha leo cha mbwa mwizi, kuna mtu aliamua kuchezea sharubu za simba! Tulitaka tu iwe lesson siku nyingine msilete masihara la sivyo kipigo mtakachopata hamtakisahau, eti LeBron, who is LeBron!
Je umeufuatilia mchezo? Hata 200 tungeweza kupiga ila tu basi hatutaki kuwakatisha tamaa. Unakumbuka picha iliyowekwa humu ya Kyrie Irving? Hiyo ndiyo sababu ya kipigo cha leo cha mbwa mwizi, kuna mtu aliamua kuchezea sharubu za simba! Tulitaka tu iwe lesson siku nyingine msilete masihara la sivyo kipigo mtakachopata hamtakisahau, eti LeBron, who is LeBron!
Mpaka leo hatujapata sababu ya kuwafunga watu vikapu vyote hivyo lakini mkizidi kuleta za kuleta hatutakuwa na namna, itabidi tufanye kweli. Fikiria mtu moja tu anafunga pointi 60 kwa dakika 20! Sasa huyo mtu tusipomfunga luku si anaweza kufanya watu wanywe sumu. Hapana, nia yetu si kuua watu, ni burudani tu watu wanataka.Ha ha ha, mkuu hata 500 mnaweza kabisa, maana nyie si watu wa mchezo mchezo, ivi mmeshawahi kufikisha 150 mara ngapi vile?
Mpaka leo hatujapata sababu ya kuwafunga watu vikapu vyote hivyo lakini mkizidi kuleta za kuleta hatutakuwa na namna, itabidi tufanye kweli. Fikiria mtu moja tu anafunga pointi 60 kwa dakika 20! Sasa huyo mtu tusipomfunga luku si anaweza kufanya watu wanywe sumu. Hapana, nia yetu si kuua watu, ni burudani tu watu wanataka.
Je ulimuona Nyani Ngabu alivyoingia humu haraka haraka ile Desemba 25, 2016? Leo hata kunusa, thubutuuu...Ha ha ha, nachokupendea wewe siyo kama wenzako wanaokimbia mkifungwa, maana kuna watu mpaka wamesusia jukwaa toka Finals, wanachungulia tu.
Umemsikia Klay alivyosema lakini juu ya hiyo foul?![]()
Hahahahaha I really can't handle twitter today