NBA 2016/2017 Season Special Thread


Halftime
- Warriors: 72, Clippers: 51...buzzer beater ya Curry imepeleka kilio cha nguvu kwa ndugu zao wa Kusini! Kama kawaida Oracle imegeuka kuwa slaughter house.
 
Naangalia hapa jinsi Clippers wanavyonyanyaswa hadi inaboa.

Halftime - Warriors: 72, Clippers: 51...buzzer beater ya Curry imepeleka kilio cha nguvu kwa ndugu zao wa Kusini! Kama kawaida Oracle imegeuka kuwa slaughter house.
 
GSW imeimarika wakati timu zingine zimeshuka kiwango. Games zimekua too easy for GSW. There's no way hawachukui championship this season.
 
Steph Curry huyoooo...kwa kweli anafurahisha huyu kijana! 108-72!
 
Haya 3rd quarter imeisha...Warriors: 117, Clippers :74...unbelievable!
 
Mwaka huu CAVS inabidi wajizatiti kweli kwenye NBA Finals vinginevyo itawawia vigumu kurepeat hasa kama GSW watakuwa wamekamilika bila majeruhi.

GSW imeimarika wakati timu zingine zimeshuka kiwango. Games zimekua too easy for GSW. There's no way hawachukui championship this season.
 
Inafurahisha sana jinsi watu wasivyoelewa vitu. Kuna team iliyowahi kutisha regular season kama Warriors mwaka jana? nini kilitokea playoffs? Eti kama Curry akicheza hivi playoff, nani amekuambia playoffs watu watamuachia hivyo? in a 7 game series, team zinaplan jinsi ya kukuzuia usicheze, zinaplan for the whole month, Great players always play better in playoffs compared to their regular season, Curry regular season stats always become worse during playoffs, why? because wakati wa playoffs teams zinacheza defense ya uhakika, Curry ni one-dimensional when it comes to scoring, ukiweza kumfanya asiwe effective from 3pt line, hakuna anaweza fanya. Yes anaweza ku score layups lakini sio effective kama mfano Kyrie ambaye anaweza ku score kila sehemu, hategemei tu 3pts, Kyrie also has a very sound mid-range game(akiingia ndani ya 3pt line his jumper is as deadly as Shaun Livingston's) plus he's the best finisher around the basket.

Pia Curry sio athletic kama Point guards wengine, Ukimchezea physical playoff defense(kumbuka playoffs kuna defense huwa refa wanaachia ambayo regular season huwa ni fouls) halafu ukamuattack all game anachoka, Ukichoka hauwezi ku-shoot, hivi vyote wakati wa playoffs ndio huwa vinatokea. Ndio maana hata mwaka ambao walishinda championship, Iguodala was their best player and won finals MVP, Last season hata kama wangeshinda Green ndio angekua MVP kwa nini haujiulizi why?

Jinsi GSW wanacheza regular season inawafanya wakifika playoff wanakua tayari wameshacheza their best games during Regular season, teams tayari zimeshaona nini wanaweza kufanya, hakuna kipya zaidi kwa hiyo inachobaki ni kuplan jinsi ya kuwazuia. Play man to man defense on Curry kuanzia akipata mpira akiwa backcourt, unamfanya agawe mpira, then stay infront of him all the time, acha kina Durant ndio wawe playmakers wakati wa offense, go at him attack him, make him play defense, he's not a big guy so inachoishia ni kua he gets bullied mpaka anakua amechoka, this happens for 48 minutes in 7 pressure filled games with the chip on the line: Result? points per game zinashuka, shooting percentage zinashuka, assists zinashuka, turnovers zinaongezeka.

Waache Warriors waendelee kutu entertain wakati wa regular season, that's all i can say
 
Mbona tunasahau haraka hivi? Kuna tofauti kubwa kati ya regular season na playoffs. Kuna pressure zaidi kwa wachezaji na uchezaji kwenye playoffs tofauti na regulat season ambapo baadhi ya timu zinakuwa kwenye cruise control mode ili kupata nafasi ya kuingia kwenye playoffs.

#don'tforgetthis
 
Anao uwezo wa kuperform wonders period, Yupo Durant Kumpunguzia hiyo pressure so haiwezi kua rahisi kama mwaka jana na Lebron anajua hilo ndio maana analia lia kutaka playmaker
 
Waache Warriors waendelee kutu entertain wakati wa regular season, that's all i can say
Rudi darasani usome historia ya NBA halafu uniambie ni sababu zipi zilikuwa zinafanya timu fulani fulani zipewe nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa kama si performance zao kwenye regular seasons. Ukipata muda msikilize Kocha wa Warriors Steven Kerr ambaye aliwahi kuichezea Chicago Bulls ya akina Maichael Jordan na Scottie Pippen akielezea kushindwa kwa Warriors kutwaa ubingwa mwaka jana.

Chuki yako kwa Steph Curry imekupofusha kiasi usione performance ya Warriors kwenye playoffs mwaka jana dhidi ya timu ngumu za West kama Spurs, Rockets, Clippers, na Thunder hadi kutetea ubingwa kwenye Western Conference. Unaongea kama vile the only team in the NBA ni Cleveland Cavaliers ya LeBron James na kwamba timu zingine zote si lolote si chochote si East wala West, duh!
 
Chuki yako kwa Steph Curry imekupofusha kiasi usione performance ya Warriors kwenye playoffs mwaka jana dhidi ya timu kama Spurs, Rockets, Clippers, na Thunder hadi kutetea ubingwa kwenye Western Conference.

Playoffs za mwaka jana GSWs alikutana na Houston Rockets, Portland Trail Blazers then Thunder!
 
Playoffs za mwaka jana GSWs alikutana na Houston Rockets, Portland Trail Blazers then Thunder!
Does this change anything? Kwa hiyo kwenye Western Conference playoffs Spurs na Clippers hawakushiriki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…