Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
How old he is?Hawezi kuwa hatari zaidi ya mshua, ila ni ball handler mzuri.
Akipata trainer mzuri anaweza kuwa dizaini ya CP3.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How old he is?Hawezi kuwa hatari zaidi ya mshua, ila ni ball handler mzuri.
Akipata trainer mzuri anaweza kuwa dizaini ya CP3.
He's 12, Nimesikia Kentucky Wildcats tayari wameshamsajili college.How old he is?
He's 12, Nimesikia Kentucky Wildcats tayari wameshamsajili college.
Hakika inaboaNaangalia hapa jinsi Clippers wanavyonyanyaswa hadi inaboa.
GSW imeimarika wakati timu zingine zimeshuka kiwango. Games zimekua too easy for GSW. There's no way hawachukui championship this season.
If curry play like this in the finals no one will touch GSW
Usihofu mkuu...[HASHTAG]#beentheredonethat[/HASHTAG]Mwaka huu CAVS inabidi wajizatiti kweli kwenye NBA Finals vinginevyo itawawia vigumu kurepeat hasa kama GSW watakuwa wamekamilika bila majeruhi.
Rudi darasani usome historia ya NBA halafu uniambie ni sababu zipi zilikuwa zinafanya timu fulani fulani zipewe nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa kama si performance zao kwenye regular seasons. Ukipata muda msikilize Kocha wa Warriors Steven Kerr ambaye aliwahi kuichezea Chicago Bulls ya akina Maichael Jordan na Scottie Pippen akielezea kushindwa kwa Warriors kutwaa ubingwa mwaka jana.Waache Warriors waendelee kutu entertain wakati wa regular season, that's all i can say
Chuki yako kwa Steph Curry imekupofusha kiasi usione performance ya Warriors kwenye playoffs mwaka jana dhidi ya timu kama Spurs, Rockets, Clippers, na Thunder hadi kutetea ubingwa kwenye Western Conference.
Does this change anything? Kwa hiyo kwenye Western Conference playoffs Spurs na Clippers hawakushiriki?Playoffs za mwaka jana GSWs alikutana na Houston Rockets, Portland Trail Blazers then Thunder!