Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti ni [HASHTAG]#slamdrone[/HASHTAG]Slam dunk competition is becoming a joke (IMO)
Yes sir...pamoja na kuwa robbed mwaka jana, alichofanya mwaka huu, kitafanya watu waone kama hakuwa robbed..Aaron is about to choke too...
Amedisappoint watu sana aisee... Pengine alivyosikia Zack amejitoa akajua it's a easy win..Yes sir...pamoja na kuwa robbed mwaka jana, alichofanya mwaka huu, kitafanya watu waone kama hakuwa robbed..
Kwa kweli, I'm disappointed!Sijaona chochote hapa, ngoja nihame...!
Kisichana kivipi? Tatizo nyie wa zamani mnajifanya kila kitu mlikuwa mnakifanya at the highest level.. Huko zamani kulikuwa na nini ambacho sasahivi kinashindikana kufanyika?nakubaliana na Charles Bakley aliposema kuwa basket ya siku hizi iko kisichana zaidi