NBA 2016/2017 Season Special Thread

Hmmmm! Drone in slam dunks competition!? We're going Hollywood!
 
Huyu dogo Jones Jr...yaani hajawahi hata ku-dunk kwenye NBA game...au siyo?
 
Reactions: BAK
So far so boring...pengine huyu dogo Jones atachangamsha kwenye final round!!
 
Yes sir...pamoja na kuwa robbed mwaka jana, alichofanya mwaka huu, kitafanya watu waone kama hakuwa robbed..
Amedisappoint watu sana aisee... Pengine alivyosikia Zack amejitoa akajua it's a easy win..
 
I agree with Shaq...hilo siyo dunk la kwenye final round...disappointing.
 
Reactions: BAK
The quality of participants is so so and the end result is mediocre at best.

I agree with Shaq...hilo siyo dunk la kwenye final round...disappointing.
 
To end the story, 2016 Slum Dunks will be the best of our generation.. And Aaron disappoint all of us...

Hope he will do a Klay (doesn't need to end like that), come out and do this again next year or next following year..
 
nakubaliana na Charles Bakley aliposema kuwa basket ya siku hizi iko kisichana zaidi
Kisichana kivipi? Tatizo nyie wa zamani mnajifanya kila kitu mlikuwa mnakifanya at the highest level.. Huko zamani kulikuwa na nini ambacho sasahivi kinashindikana kufanyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…