Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Naona wameshaanza kuponda kimtindo...Yeah the last one was a lot better, Robinson deserves it!
Game bado, au why unasema hivyo?East about to lose 3 in a row..
Naona mashindano mapya ya slam dunk yanaendelea tena leo! Kwa kweli yamenoga kuliko ya jana.Game bado, au why unasema hivyo?
hahaha kumbee... misimu mitatu mfululizo..They're not serious at all when it comes to winning.
He came in and played iso ball and it started look so boring... This guy bana.Russ must be too angry to miss his only trophy (All Star MVP)...
And Yes, East is weak..
Ahahaaaaaaah...
The 2017 Western Conference [HASHTAG]#NBAAllStar[/HASHTAG] Team!
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Jamaa alianza kuforce kila shot.. Kuna moja ambayo Klay alikuwa open na ye kapata rebound badala ya kumpa Klay akakimbilia mwenyewe kwenye three point line na kushoot. Naona Klay ile ilimuudhi sana akapita pembeni akiwa amenyoosha mikono juu.. Very selfish player to play with. Naona hata mwishoni players wengine wakaanza kuignore kumpa mipira wakawa wanampa AD tu mpaka alivyotolewa..He came in and played iso ball and it started look so boring... This guy bana.
Sorry, Wilt scored 42 not 44..1962 record was broken tonight by the MVP who scored 52 points as compared to 44 points scored by Wilt Chamberlain.