BREAKING: Pelicans agree to trade 3 players, including Buddy Hield, and future 1st and 2nd round picks to Kings for DeMarcus Cousins. (via @sportscenter)
Ila watahitaji kumuajiri daktari wa kumtoa mapepo ya kufyatuka...Cousins bwana, alivyo na vihasira utafikiri ana undugu na mkurupukaji-in-chief wetu!Dah, wakiweza kumretain next season nadhani tutawaona NOP katika ushindani wa hali ya juu sana.
Ila watahitaji kumuajiri daktari wa kumtoa mapepo ya kufyatuka...Cousins bwana, alivyo na vihasira utafikiri ana undugu na mkurupukaji-in-chief wetu!
nakubaliana na Charles Bakley aliposema kuwa basket ya siku hizi iko kisichana zaidi[/QUO Mkuu umemwona gaucho.
Huyu dogo ni fan mkubwa wa New Orleans Saints ya NFL. Ameshapata media attention sana, na kwakweli alifanya vyema hata alipoalikwa na wwe kwenye launching ya Wrestlemania. Na ameua kwenye hii all star. He's hilarious and his interviews where just so good to missSikupata nafasi kabisa ya kuangalia Sherehe za All Stars mwaka huu, leo nimecheki cheki highlights kiasi. Nadhani ni wakati sasa kama Stephen A Smith alivyoshauri hizi dunking contests zishirikishe watu wa mtaani zaidi kulika hawa pros, zinaweza kuwa na mvuto zaidi.
Ila kuna huyu dogo kani-impress sana aisee
Who is Jarrius Robertson, the inspiring young fan stealing the show at NBA All-Star weekend?
Huyu dogo ni fan mkubwa wa New Orleans Saints ya NFL. Ameshapata media attention sana, na kwakweli alifanya vyema hata alipoalikwa na wwe kwenye launching ya Wrestlemania. Na ameua kwenye hii all star. He's hilarious and his interviews where just so good to miss
Hahahaha anamwambia Russell props to what you've done.. It was hard since KD left fighting for playoffs. Russell akamjibu we'll make the playoffs. Dogo anamwambia you need shooters.. Russell ikabidi amuulize tu you need to come play for us?Eti anamwambia LBJ "Am the play maker you crying to have".
Hahahaha anamwambia Russell props to what you've done.. It was hard since KD left fighting for playoffs. Russell akamjibu we'll make the playoffs. Dogo anamwambia you need shooters.. Russell ikabidi amuulize tu you need to come play for us?