The greatest shooter in the world with 4/31 3-points shooting in the last 3 games!!!First game without KD = L.
Hope he comes back soon.
The greatest shooter in the world with 4/31 3-points shooting in the last 3 games!!!
Kwa kweli wanastahili hongera kwa kucheza michezo ya kukamilisha tu ratiba wakisubiri playoffs...big up DUBS!
Oh! Kumbe nao wanasubiri playoffs tu? Good for them, uh?. Kwa kweli wanastahili hongera kwa kucheza michezo ya kukamilisha tu ratiba wakisubiri playoffs...big up DUBS!
Salama mtani, naona bado mnaikimbiza tiketi ya kucheza playoffs...poleni sana!Mkuu za masiku?
Chezea DUBS, mpaka sasa ni timu pekee ambayo tiketi ya playoffs tayari wanayo mfukoni...!Oh! Kumbe nao wanasubiri playoffs tu? Good for them, uh?
Sasa hivi hakuna tena pressure, DUBS wamesha"qualify" kucheza playoffs. Watu kama Curry ni pale wakiwa under pressure ndio utajua jinsi walivyo hatari tupu. Sasa tunakamilisha tu ratiba...sijui nani tena tumgawie pointi ili naye ajisikiesikie.kuumia kwa KD kutaleta taabu kwa Dubs? Curry si yule. Bogut alisepa. Green performance yake ni sinusoidal. Tuta-shake kidogo?
Like when he is blowing up a 3-1 lead, uh?. Watu kama Curry ni pale wakiwa under pressure ndio utajua jinsi walivyo hatari tupu. .
Salama mtani, naona bado mnaikimbiza tiketi ya kucheza playoffs...poleni sana!
Chezea DUBS, mpaka sasa ni timu pekee ambayo tiketi ya playoffs tayari wanayo mfukoni...!
Ha ha haaa...ni kweli mbwa kuuma mwanadamu si habari, habari ni mwanadamu kumuuma mbwa!Franchise and NBA record for most 3s made in a game...[HASHTAG]#letsgocavs[/HASHTAG]
Ha ha haaa...ni kweli mbwa kuuma mwanadamu si habari, habari ni mwanadamu kumuuma mbwa!
Ni kweli...waangalie tu isitokee mara nyingi maana inaweza kukosa msisimko na hivyo kuwa si habari tenaπLeo tena kuna mwanadamu kauma mbwa!
Naona GSW wanaendelea kusubiri playoffs.
Wameanza kuniboa kama arsenal nyambafu zao...Cavs hivi vipigo sivielewi kabisa, naona kuna kitu wananitafuta si bure.
LeBron kaweka triple double ya nane lakini Detroit wakabana tu kwani hamna tena namna. Hakikisheni kwanza nafasi yenu kwenye playoffs ndio mruhusu vitimu kuwafunga kirahisi rahisi la sivyo ohoooo! Chukueni tahadhari...ni onyo tu.Cavs hivi vipigo sivielewi kabisa, naona kuna kitu wananitafuta si bure.