NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Leo Warriors wamevunja rekodi yao nyingine kwa kufungwa back to back. Juzi Washington Wizards waliwaloga na leo Chicago Bulls wamewachoma mapembe. Katika michezo hii miwili hawakuona hata hizo point 100 zinapatikanaje. Kwa kweli wanastahili hongera kwa kucheza michezo ya kukamilisha tu ratiba wakisubiri playoffs...big up DUBS!
 
kuumia kwa KD kutaleta taabu kwa Dubs? Curry si yule. Bogut alisepa. Green performance yake ni sinusoidal. Tuta-shake kidogo?
 
kuumia kwa KD kutaleta taabu kwa Dubs? Curry si yule. Bogut alisepa. Green performance yake ni sinusoidal. Tuta-shake kidogo?
Sasa hivi hakuna tena pressure, DUBS wamesha"qualify" kucheza playoffs. Watu kama Curry ni pale wakiwa under pressure ndio utajua jinsi walivyo hatari tupu. Sasa tunakamilisha tu ratiba...sijui nani tena tumgawie pointi ili naye ajisikiesikie.
 
Ila SAS wapo vizuri sana Msimu huu. Natumai tutaenjoy sana p/Off Msimu huu. Ngoja nisubiri kumwangalia Antony Davis.
 
Salama mtani, naona bado mnaikimbiza tiketi ya kucheza playoffs...poleni sana!

Chezea DUBS, mpaka sasa ni timu pekee ambayo tiketi ya playoffs tayari wanayo mfukoni...!

Hata mwaka jana tuliwatanguliza.
 
Franchise and NBA record for most 3s made in a game...[HASHTAG]#letsgocavs[/HASHTAG]
 
Franchise and NBA record for most 3s made in a game...[HASHTAG]#letsgocavs[/HASHTAG]
Ha ha haaa...ni kweli mbwa kuuma mwanadamu si habari, habari ni mwanadamu kumuuma mbwa!
 
Andrew Bogut fractures tibia less than a minute into Cavs debut. Get Well Soon !!
 
Leo tena kuna mwanadamu kauma mbwa!
Naona GSW wanaendelea kusubiri playoffs.
Ni kweli...waangalie tu isitokee mara nyingi maana inaweza kukosa msisimko na hivyo kuwa si habari tena😀
😀😀!
 
Cavs hivi vipigo sivielewi kabisa, naona kuna kitu wananitafuta si bure.
 
Cavs hivi vipigo sivielewi kabisa, naona kuna kitu wananitafuta si bure.
LeBron kaweka triple double ya nane lakini Detroit wakabana tu kwani hamna tena namna. Hakikisheni kwanza nafasi yenu kwenye playoffs ndio mruhusu vitimu kuwafunga kirahisi rahisi la sivyo ohoooo! Chukueni tahadhari...ni onyo tu.
 
Back
Top Bottom