NBA 2016/2017 Season Special Thread

curry msimu huu kiwango kimeshuka. cheki ppg za lillard na curry last season and this seaaon... curry amedrop balaa
Curry msimu huu hajawa targeted sana kwenye offense kutokana na ujio wa KD... Warriors sasa wana 3 scores ilikuwa ni lazima PPG za wote zipungue.. Hata hivyo kuwa na 3 players katika timu ambao wote wana avarage more than 20 PPG si mchezo..
 
haha.. unamtetea sana il cheki hata 3P% yake 2016/17 ilivoshuka, hio percentage has nothing to do with being a target, hio inapima efficiency. lately anamic shots balaa
 
haha.. unamtetea sana il cheki hata 3P% yake 2016/17 ilivoshuka, hio percentage has nothing to do with being a target, hio inapima efficiency. lately anamic shots balaa
Hiyo ni kawaida kwa elite players... Besides 39% isn't bad shooting beyond the line..

One of the greatest shooters in Ray Allen ameshashoot below 39% kwenye misimu 8 ukiacha his carreers worst alishoot 32%.. Kwa Curry kwakuwa mmeamua kumsema ana disappear kwenye game muhimu ameamua afiche silaha zake mpaka Western Finals na Finals zenyewe.. Alafu umeona shooting form ya Curry tangia KD akae nje?
 
terrible.. just terrible.. kuna game alishoot 0-11 from beyond the arc.
 
Kwa mwendo huu hawa Nuggets siwataki kabisa hapo 8 seed...

Cavs wanachapwa kama watoto hapa..
 
Kwa mwendo huu hawa Nuggets siwataki kabisa hapo 8 seed...

Cavs wanachapwa kama watoto hapa..
Ha ha...umesahau GSW walipigwa hapo Pepsi Centre, eh? Hadi waliweka NBA record ya most 3-points made [24], kabla ya Cavs kuivunja...
 
Ha ha...umesahau GSW walipigwa hapo Pepsi Centre, eh? Hadi waliweka NBA record ya most 3-points made [24], kabla ya Cavs kuivunja...
Ni kweli kabisa mkuu na ndio maana hata kwa post yangu nimesema hawa siwataki kabisa pale 8 seed..

Majuzi bwana mandevu nae kaponea kuchapwa kwa kubebwa tu pale kwake.. Hawa Denver ni moto na nilisema awali kabisa lazima Cavs atachezea hapo..
 
ila inawezekana Cavs nao wanapoteza hizi recent games on purpose.. wanamkimbia Miami kwny playoffs, akiwa no. 2 atakutana na Pacers and Celtics ndo ataplay na Miami, which is fair coz regular season miami amechezea sna kichapo kutoka kwa Celtics..

Im just thinking out loud.
 
Last season, Pistons swept Cavs during the regular season. Actually, bitting them at home twice. But they got bitten 4-0 during the playoffs...

Watu mnasahau playoffs ni different story...hata marefa uwa hawatoitoi calls nyepesinyepesi kama zitolewazo kwenye regular season...
 
Reactions: BAK
i know bro ila cavs kwa heat wanachezeaga kichapo sana.
 
regular season.. hawajawah kukutana kwny playoffs
...sasa kama ndivyo, basi hukuelewa nilichokisema...regular season siyo kiashiria cha nini kitatokea kwenye playoffs, kwani ni different settings na wachezaji wanakuwa kwenye different, aggressive modes...
 
nimekuelewa vema kaka ila heat lux lyk a threat 2 cavs not just in regular season.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…