Uliza Nkujibu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 806
- 640
wanambaniaga tu.Too bad yupo West... Hata All Star anaishiaga kuisikia tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanambaniaga tu.Too bad yupo West... Hata All Star anaishiaga kuisikia tu..
We unavyoona anaweza kumweka nani nje?wanambaniaga tu.
curry msimu huu kiwango kimeshuka. cheki ppg za lillard na curry last season and this seaaon... curry amedrop balaaWe unavyoona anaweza kumweka nani nje?
Kati ya Curry, Harden, Russ, Klay...
Curry msimu huu hajawa targeted sana kwenye offense kutokana na ujio wa KD... Warriors sasa wana 3 scores ilikuwa ni lazima PPG za wote zipungue.. Hata hivyo kuwa na 3 players katika timu ambao wote wana avarage more than 20 PPG si mchezo..curry msimu huu kiwango kimeshuka. cheki ppg za lillard na curry last season and this seaaon... curry amedrop balaa
haha.. unamtetea sana il cheki hata 3P% yake 2016/17 ilivoshuka, hio percentage has nothing to do with being a target, hio inapima efficiency. lately anamic shots balaaCurry msimu huu hajawa targeted sana kwenye offense kutokana na ujio wa KD... Warriors sasa wana 3 scores ilikuwa ni lazima PPG za wote zipungue.. Hata hivyo kuwa na 3 players katika timu ambao wote wana avarage more than 20 PPG si mchezo..
Hiyo ni kawaida kwa elite players... Besides 39% isn't bad shooting beyond the line..haha.. unamtetea sana il cheki hata 3P% yake 2016/17 ilivoshuka, hio percentage has nothing to do with being a target, hio inapima efficiency. lately anamic shots balaa
![]()
terrible.. just terrible.. kuna game alishoot 0-11 from beyond the arc.Hiyo ni kawaida kwa elite players... Besides 39% isn't bad shooting beyond the line..
One of the greatest shooters in Ray Allen ameshashoot below 39% kwenye misimu 8 ukiacha his carreers worst alishoot 32%.. Kwa Curry kwakuwa mmeamua kumsema ana disappear kwenye game muhimu ameamua afiche silaha zake mpaka Western Finals na Finals zenyewe.. Alafu umeona shooting form ya Curry tangia KD akae nje?
That was before KD Injury... Mid February...terrible.. just terrible.. kuna game alishoot 0-11 from beyond the arc.
cjafatilia kihivyo kuhusu huyo jamaa, sio my fav ila generally ameflopThat was before KD Injury... Mid February...
Ha ha...umesahau GSW walipigwa hapo Pepsi Centre, eh? Hadi waliweka NBA record ya most 3-points made [24], kabla ya Cavs kuivunja...Kwa mwendo huu hawa Nuggets siwataki kabisa hapo 8 seed...
Cavs wanachapwa kama watoto hapa..
Ni kweli kabisa mkuu na ndio maana hata kwa post yangu nimesema hawa siwataki kabisa pale 8 seed..Ha ha...umesahau GSW walipigwa hapo Pepsi Centre, eh? Hadi waliweka NBA record ya most 3-points made [24], kabla ya Cavs kuivunja...
ila inawezekana Cavs nao wanapoteza hizi recent games on purpose.. wanamkimbia Miami kwny playoffs, akiwa no. 2 atakutana na Pacers and Celtics ndo ataplay na Miami, which is fair coz regular season miami amechezea sna kichapo kutoka kwa Celtics..Ni kweli kabisa mkuu na ndio maana hata kwa post yangu nimesema hawa siwataki kabisa pale 8 seed..
Majuzi bwana mandevu nae kaponea kuchapwa kwa kubebwa tu pale kwake.. Hawa Denver ni moto na nilisema awali kabisa lazima Cavs atachezea hapo..
Last season, Pistons swept Cavs during the regular season. Actually, bitting them at home twice. But they got bitten 4-0 during the playoffs...ila inawezekana Cavs nao wanapoteza hizi recent games on purpose.. wanamkimbia Miami kwny playoffs, akiwa no. 2 atakutana na Pacers and Celtics ndo ataplay na Miami, which is fair coz regular season miami amechezea sna kichapo kutoka kwa Celtics..
Im just thinking out loud.
i know bro ila cavs kwa heat wanachezeaga kichapo sana.Last season, Pistons swept Cavs during the regular season. Actually, bitting them at home twice. But they got bitten 4-0 during the playoffs...
Watu mnasahau playoffs ni different story...hata marefa uwa hawatoitoi calls nyepesinyepesi kama zitolewazo kwenye regular season...
...unaongelea kichapo kwenye playoffs?i know bro ila cavs kwa heat wanachezeaga kichapo sana.
regular season.. hawajawah kukutana kwny playoffs...unaongelea kichapo kwenye playoffs?
...sasa kama ndivyo, basi hukuelewa nilichokisema...regular season siyo kiashiria cha nini kitatokea kwenye playoffs, kwani ni different settings na wachezaji wanakuwa kwenye different, aggressive modes...regular season.. hawajawah kukutana kwny playoffs
nimekuelewa vema kaka ila heat lux lyk a threat 2 cavs not just in regular season....sasa kama ndivyo, basi hukuelewa nilichokisema...regular season siyo kiashiria cha nini kitatokea kwenye playoffs, kwani ni different settings na wachezaji wanakuwa kwenye different, aggressive modes...