Defence katika basket sio siri uifiche uvunguni aisee its either you hustle for it or you dont have it, kumbuka pia kwenye Basket rhythm ni muhimu, brons na lue wake wasipobadili mbinu wakadhani kuna switch ya kuwasha na kuzima itakula kwao.....hawataki kuonyesha their defence tactics, they have clinched a playoff spot already...kama ulimsikia Coach Lue majuzi baada ya defeat dhidi ya Wizards...
Tokea lini Nyani likacheza basket!!!! wewe ni mtumwa wa wamarekani lazima utawala huu wa trump uchapwe kobiro
....wewe wasema hivyo...ila Coach Lue and Co. said what I wrote. And I believe they know waaaaay better than you, that's why they are in NBA! What are you to question their tactics?!?Defence katika basket sio siri uifiche uvunguni aisee its either you hustle for it or you dont have it, kumbuka pia kwenye Basket rhythm ni muhimu, brons na lue wake wasipobadili mbinu wakadhani kuna switch ya kuwasha na kuzima itakula kwao
Kama ndio tactics yenu haya endeleeni ila hakikisheni mmetoboa East mje mle kichapo chenu.....wewe wasema hivyo...ila Coach Lue and Co. said what I wrote. And I believe they know waaaaay better than you, that's why they are in NBA! What are you to question their tactics?!?
I learn a lot from you fellas
Hope one day Yes No more vilevile[emoji12]
Kama ndio tactics yenu haya endeleeni ila hakikisheni mmetoboa East mje mle kichapo chenu.
Lazima mfanye adjustment kwenye defence na naona injury pia zinawasumbua, Spurs wabishi sana wale wababu lakini dawa yao hua ni durant akiwa fresh uhakika wa kutoboa mkubwa.East is guaranteed, hope mtawaweza SAS, otherwise mwaka huu finals mtazisikia.
Asee nimemiss sana zile back-and-forth arguments, fact-by-fact za Nzi & Nyani Ngabu Vs. Mag3, Tyta na Steph Curry.
Salamu kwenu wakuu woote wa uzi huu.
Mkuu habari aseeNimemmiss sana Tyta. Otherwise, all is well.
Mkuu habari asee
Asee tunamshukuru Mungu mambo yanaenda vizuri ariff!Nipo mkuu, majukumu yanakwendaje?
Asee tunamshukuru Mungu mambo yanaenda vizuri ariff!
Asee mbali na kukimbia jukwaa, majukumu yanabana sana siku hizi, na mizunguko mingi inakufanya unapitwa na mengi.Vizuri, playoff kicks zinaanza, naona mwaka huu washabiki wa GSWs mlikimbia jukwaa kabisa aisee, siyo kama ule mwaka mlioweka rekodi ya 73-9, kulikuwa hakukaliki humu.
Ila regular season za mwaka huu ziko so quite.
Zinasaidia nini kama hizo triple doubles hazikupi ushindi na kama una force multiple plays ili uzipate?? Game ya Houston na OKC after third quarter Russ wangempuumzisha tu sababu walishaonekana kupoteza na walikuwa na back to back games na Dallas.. Ilikuwa bahati tu wakawafunga Mavs kwa shida sana. Ila Russ aliendelea kucheza fourth quarter yote ili tu apate triple double.....kwa hiyo mazee wewe mtu mwenye triple doubles ni selfish?
Mkuu huyo jamaa ubishi ni asili yake... Actually nishamjua who he is in real life.. Kuna kipindi nilishabishana nae kule Facebook kwenye maswala ya soka na alichokuwa anakibishia kikaja kutokea in no time..Defence katika basket sio siri uifiche uvunguni aisee its either you hustle for it or you dont have it, kumbuka pia kwenye Basket rhythm ni muhimu, brons na lue wake wasipobadili mbinu wakadhani kuna switch ya kuwasha na kuzima itakula kwao
Mkuu huyo jamaa ubishi ni asili yake... Actually nishamjua who he is in real life.. Kuna kipindi nilishabishana nae kule Facebook kwenye maswala ya soka na alichokuwa anakibishia kikaja kutokea in no time..
Fans wenyewe walioko Ohio wana hofu na defense ya timu yao alafu mtu yupo pale Tazara anabishia na kusema wanaoponda ni fans wa Warriors.. Ebu pitia page ya twitter ya Cavs uone wanavyopiga mayoe huko..
Karibu boss... Naona Tyta bado yupo mafichoni anasubiria Play offsHabarini za masiku wakuu. Dah, asee ni muda mrefu umepita bila ya kuja'pay a visit pande hii. Dah naona idadi ya wafuasi wa uzi huu imeongezeka kitu ambacho ni jambo zuri sana.
Naona pia League inaendelea kiushindani sana, sio kama msimu uliopita ambao ulikuwa umetawaliwa na Cavs na GSW since day one to the last. Leo hii Celtics wako top seed, Cavs they still my bet on the East (ingawa kama mnavojua, niko team moja na kina Steph Curry, Mag3 Tyta @Alegria de Povo) na team yangu pendwa GSW naona this time around tumepitia schedule yenye mushkeli haswa na injury ya KD kiasi kwamba kuna moment baada ya kusoma articles za ESPN nkasema "sasa tumepata a bit of tough ride, na kama tumeweza bounce back to the top, well...we are all good then"
Asee nimemiss sana zile back-and-forth arguments, fact-by-fact za Nzi & Nyani Ngabu Vs. Mag3, Tyta na Steph Curry.
Salamu kwenu wakuu woote wa uzi huu.