Habarini za masiku wakuu. Dah, asee ni muda mrefu umepita bila ya kuja'pay a visit pande hii. Dah naona idadi ya wafuasi wa uzi huu imeongezeka kitu ambacho ni jambo zuri sana.
Naona pia League inaendelea kiushindani sana, sio kama msimu uliopita ambao ulikuwa umetawaliwa na Cavs na GSW since day one to the last. Leo hii Celtics wako top seed, Cavs they still my bet on the East (ingawa kama mnavojua, niko team moja na kina
Steph Curry,
Mag3 Tyta @Alegria de Povo) na team yangu pendwa GSW naona this time around tumepitia schedule yenye mushkeli haswa na injury ya KD kiasi kwamba kuna moment baada ya kusoma articles za ESPN nkasema "sasa tumepata a bit of tough ride, na kama tumeweza bounce back to the top, well...we are all good then"
Asee nimemiss sana zile back-and-forth arguments, fact-by-fact za
Nzi &
Nyani Ngabu Vs.
Mag3,
Tyta na
Steph Curry.
Salamu kwenu wakuu woote wa uzi huu.