NBA 2016/2017 Season Special Thread

Jana nimemwona Alegria do povo, Steph Curry, Nyani Ngabu; King Shaat leo ndani, kama kawaida Nzi na Steph Curry utani wa jadi unaendelea.

Taratiiiibu, jukwaa linaanza kurudi kwenye uhai wake, namsubiri Tyta, Mag3 anakuja kwa kuibia ibia sana.
Ha ha haa...strike me pink! eti Mag3 anakuja kwa kuibia ibia sana! Hujambo ndugu yangu Raimundo, yako mambo yalihitaji kushupaliwa kwani ukidharau mwiba, mguu waweza kuota tende. That aside, poleni sana wapenzi wa CAVs, najua kinachowapata na ukitaka kujua zaidi ingia twitter.


Jana baada ya kuwapa somo Rockets nyumbani kwao, leo tunamsubiri San Antonio...bado tu masaa tunaingia kazini. Lakini hizo free throws za jana bado zinanipa homa hadi leo...!
 
Ndugu yenu Nzi anazingua sana... Curry always outplaying Russ and Harden lakini jamaa bado hataki kukiri Curry kawafunika hao jamaa
...Russell na the Beard ndiyo MVP contenders this season...kama kuwafunika kunahesabika kwa showdown kati ya GSW na Rockets, na GSW na OKC, basi Curry wins...but regular season ni marathon...wenzake wamefunika msimu mzima, their numbers prove that. They are their teams' real MVPs...na kati yao MVP wa msimu atapatikana..
 
Reactions: BAK
Vizuri, playoff kicks zinaanza, naona mwaka huu washabiki wa GSWs mlikimbia jukwaa kabisa aisee, siyo kama ule mwaka mlioweka rekodi ya 73-9, kulikuwa hakukaliki humu.

Ila regular season za mwaka huu ziko so quite.
Raimundu tupo tunawaona tu
 

Natumaini hukumaanisha kwamba unanijua mimi in real life. Kama ndivyo ulivyomaanisha, I dare you to say it. Hata hiyo Facebook account yenyewe sina.

Kuhusu Cavs' fans. Kama ulisoma nilichokisema, nilisema wachezaji wapo relaxed. Sikusema fans wa Cavs wapo relaxed. Wachezaji na Coach Lue wanajua wanachokifanya, who are to you judge? What are your profiles as b-ball players?

Yaani ushabiki wa design hiyo ni wa kitoto sana. Kujifanya u-much know kuliko wachezaji na coaching staff walio na access na all training facilities na materials. Nyiye mnatumia hisia ku-evaluate teams!
 
Reactions: BAK
Hata kutazama nimeshindwa...timu yangu inanyukwa kisawasawa, masikini GSW!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…