NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Hii tweet ni kutoka kwa Cavs die hard fans kutoka Ohio sio mpiga kelele wa pale Tazara..

"I still would take no other NBA player besides LeBron James before Steph Curry. Brilliant performance when the team looked flat."
...aiseee hiyo reasoning yako kiboko.
...sawa bosi, wacha niende kupiga box la ukuli hapa TAZARA, maana Magu anatunyoosha. Teh teh teh!
 
Hiviiiii kwann atufiki mbali mechi za kimataifa tukiangalia tim ambazo Stazzz tumechrza nazo hazina tofauty na ss tulipo kwenye viwango vya FIFA tunatakiwa tutafe ambazo zipo juuuu je, ili tufike mbali inatakiwa tuache ushabiki wa simba na yang kwenye tim za Taifa?
 
Sawasawa boss naomba nikuache na hii..
C8Iz3yEU0AUfwa3.jpg:large
 
Wow, mwisho wa siku tumeondoka ugenini na ushindi with a 3.5 games cushion to cruise on.

I told you, soon tutaanza ona back-and-forth za kina Steph Curry na Nzi au Raimundo na GSW stalwarts wa huku ndani. All in all we are all gentlemen, so no bad blood, no love lost.

Mazee wenzangu wa GSW, congrats!.
You know what happens when Steph dunks..
C8Iz3yEU0AUfwa3.jpg:large
 
....hakuna jipya. Last year you had 73-9 record, and I don't think if you would like to be reminded about what happened in the Finals.
Hahaha, truth to be told though I'm all over that trepidation, I wouldn't like anyone to rub some salt over the old wound. But I seriously don't see how that old 73-9 fits there in what I said, Coz that was then, and this here, is now.

Anyway, as I always say, we all gentlemen and some little competitive skirmish among us is all welcome, bruv!.
 
Hiviiiii kwann atufiki mbali mechi za kimataifa tukiangalia tim ambazo Stazzz tumechrza nazo hazina tofauty na ss tulipo kwenye viwango vya FIFA tunatakiwa tutafe ambazo zipo juuuu je, ili tufike mbali inatakiwa tuache ushabiki wa simba na yang kwenye tim za Taifa?
Habari mkuu Ibrahim Msuya, bila nia yeyote hasi, nadhani (na haya ni mawazo yangu tu, na si sheria)

ungefungulia uzi hilo suala lako kule kwenye jukwaa la michezo, lingepata muitikio mkubwa na mahususi/direct kwa swali lako.

Hapa ndani tumejaa wafuasi wa ligi ya mpira wa kikapu NBA (ingawa haimaanishi kuwa hatuwezi kuchangia mawazo kwenye swali lako) na ukiangalia vizuri ni rahisi sana watu kusahau kuwa uliuliza swali kwa sababu ya majibizano yanayokuwa yakiendelea tangu misimu iliopita. Ni mawazo tu mkuu, na swali lako ni zuri na lenye mantiki.
 
Hiviiiii kwann atufiki mbali mechi za kimataifa tukiangalia tim ambazo Stazzz tumechrza nazo hazina tofauty na ss tulipo kwenye viwango vya FIFA tunatakiwa tutafe ambazo zipo juuuu je, ili tufike mbali inatakiwa tuache ushabiki wa simba na yang kwenye tim za Taifa?
He he he..!
 
Hahaha, truth to be told though I'm all over that trepidation, I wouldn't like anyone to rub some salt over the old wound. But I seriously don't see how that old 73-9 fits there in what I said, Coz that was then, and this here, is now.

Anyway, as I always say, we all gentlemen and some little competitive skirmish among us is all welcome, bruv!.
Well said King Shaat, I concur 100%. Come on guys, there's no love lost...let's enjoy basketball. However...
 
Masikini watani zangu CAVs, hali inazidi kuwa ngumu na leo the Bulls nao wamekataa uteja...nimewatazama sura wachezaji pamoja na kocha wa Cleveland nikaona hawamu hamu kabisa baada ya kipigo cha 99-92 mjini Chicago. Kwa kweli LBJ kajitahidi lakini wapi, siku ya kufa nyani miti yote huteleza...poleni sana!
 
Naumia sana maana Hawa jamaa tunawahitaji tena kwenye form ili wasilete excuses
 
"Wanasubiri playoff games"
He he he...
 
Masikini watani zangu CAVs, hali inazidi kuwa ngumu na leo the Bulls nao wamekataa uteja...nimewatazama sura wachezaji pamoja na kocha wa Cleveland nikaona hawamu hamu kabisa baada ya kipigo cha 99-92 mjini Chicago. Kwa kweli LBJ kajitahidi lakini wapi, siku ya kufa nyani miti yote huteleza...poleni sana!
...ati wamekataa uteja!! Inaonyesha hufuatilii games za Bulls vs. Cavs. Msimu wa mwaka jana, kwenye regular season Bulls walikuwa 3-1 dhidi ya Cavs. Mwaka huu Bulls wamekuwa 4-0 dhidi ya Cavs.

Again, all these doesn't matter, as long as the team has clinched the playoff spot.
 
Naumia sana maana Hawa jamaa tunawahitaji tena kwenye form ili wasilete excuses
...ha ha ha, msije kukimbia tu humu when playoffs comes.
Ila mnafurahisha sana, mnaonyesha jinsi mlivyo na kumbukumbu fupi! Hivyo ndivyo Bron's teams ufanya wakati wa regular season.

Besides, angalia timu ilivyo na majeruhi, halafu mnataka wachezaji wakomae na defense as if ni Finals' games!!! Ebu jiongezeni kidogo basi! Yaani mnafikiri you are smarter than the whole team!!!

Hii ni mara ya mwisho kwangu kuongelea hili suala la Cavs' defense.

Kama tunavyosema, tusubiri playoffs!
 
Masikini watani zangu CAVs, hali inazidi kuwa ngumu na leo the Bulls nao wamekataa uteja...nimewatazama sura wachezaji pamoja na kocha wa Cleveland nikaona hawamu hamu kabisa baada ya kipigo cha 99-92 mjini Chicago. Kwa kweli LBJ kajitahidi lakini wapi, siku ya kufa nyani miti yote huteleza...poleni sana!
We babu acha unoko... timu ina secrete agenda..
 
...ati wamekataa uteja!! Inaonyesha hufuatilii games za Bulls vs. Cavs. Msimu wa mwaka jana, kwenye regular season Bulls walikuwa 3-1 dhidi ya Cavs. Mwaka huu Bulls wamekuwa 4-0 dhidi ya Cavs.

Again, all these doesn't matter, as long as the team has clinched the playoff spot.
Hahahahahahaha Mwanadamu pekee duniani anayelazimisha watu wasiwe concerned na namna Cavs wanavyopoteza. Hahahahaha maisha haya bana.
 
...ati wamekataa uteja!! Inaonyesha hufuatilii games za Bulls vs. Cavs. Msimu wa mwaka jana, kwenye regular season Bulls walikuwa 3-1 dhidi ya Cavs. Mwaka huu Bulls wamekuwa 4-0 dhidi ya Cavs.

Again, all these doesn't matter, as long as the team has clinched the playoff spot.
So how many players in the Cavs roaster are injured right now, and when you winning hamkuwa na injuries? Mbona mmeshinda michezo kibao tu huku KLOVE, JR Smith wakiwa wameumia? Au kipi kikubwa kuhusu majeruhi?
 
Back
Top Bottom