...aiseee hiyo reasoning yako kiboko.Hii tweet ni kutoka kwa Cavs die hard fans kutoka Ohio sio mpiga kelele wa pale Tazara..
"I still would take no other NBA player besides LeBron James before Steph Curry. Brilliant performance when the team looked flat."
Hahaha sijakupata ndugu angu Raimundo kwa haka kapicha.
Hahaha mkuu George Betram emb muulize kijana "vipi, jeh ulikuwa na akiba ya maneno?" (kama Mkuu Nzi na Nyani Ngabu walivyoshaurigi hapa ndani kitambo kidogoHe he he...
Sawasawa boss naomba nikuache na hii.....aiseee hiyo reasoning yako kiboko.
...sawa bosi, wacha niende kupiga box la ukuli hapa TAZARA, maana Magu anatunyoosha. Teh teh teh!
You know what happens when Steph dunks..Wow, mwisho wa siku tumeondoka ugenini na ushindi with a 3.5 games cushion to cruise on.
I told you, soon tutaanza ona back-and-forth za kina Steph Curry na Nzi au Raimundo na GSW stalwarts wa huku ndani. All in all we are all gentlemen, so no bad blood, no love lost.
Mazee wenzangu wa GSW, congrats!.
Hahaha, truth to be told though I'm all over that trepidation, I wouldn't like anyone to rub some salt over the old wound. But I seriously don't see how that old 73-9 fits there in what I said, Coz that was then, and this here, is now.....hakuna jipya. Last year you had 73-9 record, and I don't think if you would like to be reminded about what happened in the Finals.
Habari mkuu Ibrahim Msuya, bila nia yeyote hasi, nadhani (na haya ni mawazo yangu tu, na si sheria)Hiviiiii kwann atufiki mbali mechi za kimataifa tukiangalia tim ambazo Stazzz tumechrza nazo hazina tofauty na ss tulipo kwenye viwango vya FIFA tunatakiwa tutafe ambazo zipo juuuu je, ili tufike mbali inatakiwa tuache ushabiki wa simba na yang kwenye tim za Taifa?
He he he..!Hiviiiii kwann atufiki mbali mechi za kimataifa tukiangalia tim ambazo Stazzz tumechrza nazo hazina tofauty na ss tulipo kwenye viwango vya FIFA tunatakiwa tutafe ambazo zipo juuuu je, ili tufike mbali inatakiwa tuache ushabiki wa simba na yang kwenye tim za Taifa?
Well said King Shaat, I concur 100%. Come on guys, there's no love lost...let's enjoy basketball. However...Hahaha, truth to be told though I'm all over that trepidation, I wouldn't like anyone to rub some salt over the old wound. But I seriously don't see how that old 73-9 fits there in what I said, Coz that was then, and this here, is now.
Anyway, as I always say, we all gentlemen and some little competitive skirmish among us is all welcome, bruv!.
Naumia sana maana Hawa jamaa tunawahitaji tena kwenye form ili wasilete excusesMasikini watani zangu CAVs, hali inazidi kuwa ngumu na leo the Bulls nao wamekataa uteja...nimewatazama sura wachezaji pamoja na kocha wa Cleveland nikaona hawamu hamu kabisa baada ya kipigo cha 99-92 mjini Chicago. Kwa kweli LBJ kajitahidi lakini wapi, siku ya kufa nyani miti yote huteleza...poleni sana!
"Wanasubiri playoff games"Masikini watani zangu CAVs, hali inazidi kuwa ngumu na leo the Bulls nao wamekataa uteja...nimewatazama sura wachezaji pamoja na kocha wa Cleveland nikaona hawamu hamu kabisa baada ya kipigo cha 99-92 mjini Chicago. Kwa kweli LBJ kajitahidi lakini wapi, siku ya kufa nyani miti yote huteleza...poleni sana!
"Lue na LBJ wanajua nini wanafanya"Naumia sana maana Hawa jamaa tunawahitaji tena kwenye form ili wasilete excuses
...ati wamekataa uteja!! Inaonyesha hufuatilii games za Bulls vs. Cavs. Msimu wa mwaka jana, kwenye regular season Bulls walikuwa 3-1 dhidi ya Cavs. Mwaka huu Bulls wamekuwa 4-0 dhidi ya Cavs.Masikini watani zangu CAVs, hali inazidi kuwa ngumu na leo the Bulls nao wamekataa uteja...nimewatazama sura wachezaji pamoja na kocha wa Cleveland nikaona hawamu hamu kabisa baada ya kipigo cha 99-92 mjini Chicago. Kwa kweli LBJ kajitahidi lakini wapi, siku ya kufa nyani miti yote huteleza...poleni sana!
...ha ha ha, msije kukimbia tu humu when playoffs comes.Naumia sana maana Hawa jamaa tunawahitaji tena kwenye form ili wasilete excuses
We babu acha unoko... timu ina secrete agenda..Masikini watani zangu CAVs, hali inazidi kuwa ngumu na leo the Bulls nao wamekataa uteja...nimewatazama sura wachezaji pamoja na kocha wa Cleveland nikaona hawamu hamu kabisa baada ya kipigo cha 99-92 mjini Chicago. Kwa kweli LBJ kajitahidi lakini wapi, siku ya kufa nyani miti yote huteleza...poleni sana!
Hahahahahahaha Mwanadamu pekee duniani anayelazimisha watu wasiwe concerned na namna Cavs wanavyopoteza. Hahahahaha maisha haya bana....ati wamekataa uteja!! Inaonyesha hufuatilii games za Bulls vs. Cavs. Msimu wa mwaka jana, kwenye regular season Bulls walikuwa 3-1 dhidi ya Cavs. Mwaka huu Bulls wamekuwa 4-0 dhidi ya Cavs.
Again, all these doesn't matter, as long as the team has clinched the playoff spot.
So how many players in the Cavs roaster are injured right now, and when you winning hamkuwa na injuries? Mbona mmeshinda michezo kibao tu huku KLOVE, JR Smith wakiwa wameumia? Au kipi kikubwa kuhusu majeruhi?...ati wamekataa uteja!! Inaonyesha hufuatilii games za Bulls vs. Cavs. Msimu wa mwaka jana, kwenye regular season Bulls walikuwa 3-1 dhidi ya Cavs. Mwaka huu Bulls wamekuwa 4-0 dhidi ya Cavs.
Again, all these doesn't matter, as long as the team has clinched the playoff spot.