Draymond hanaga akili huyo.. Ila nyie si mna secret agenda sasa kwanini mnadundana wakati mmepenga mpoteze game zilizobaki kwa makusudi kabisa..
Chemistry ipi mkuu wakati timu ilishakaa sawa..Ha ha ha, lakini unakumbuka majibu aliyoyatoa DRaymond kuhusu huo mzozo?
Alisema kwamba ilikuwa ni trick ya kumpandisha munkari KD.
BTW, toka KD akae pembeni naiona game yenu ile ambayo GSW ni tishio, ila KD akirudi mtarudi tena kwenye kutafuta chemistry.
Chemistry ipi mkuu wakati timu ilishakaa sawa..
Umesahau alivyopata majeruhi tulifungwa michezo mitano kati ya 7 iliyofuatia.. KD akirudi sasa hakuna wa kutusimamisha mpaka finals.. First round na second round wote tunawafagia, Spurs akibahatika kuingia finals labda atapata moja..
Kama ulivyosema....umewaza ujinga! Yaani KD aanze bench?!? KD is bigger than the whole franchise! He is the 2nd best baller in the world.Nilikuwa nimeamua kuwaza ujinga leo. Finals mara Paap hawa hapa Cavs. Second Unit Iwe ni Shaun, Iggy, McCaw, Kevin Durant, Mcgee. Ili hii chemistry ya kwanza ibakie kama ilivyo. Yaani Curry, Thompson, Dirty Barnes, Green na Zaza.
I'm just thinking
Spot on, I actually think they are gonna prove how stupid and insignificant their decision was very soon.Kama ulivyosema....umewaza ujinga! Yaani KD aanze bench?!? KD is bigger than the whole franchise! He is the 2nd best baller in the world.
Anyways, jambo moja linazidi kudhiirika ni uoga wa GSW ndiyo uliowafanya wamemchukue KD. Adding KD to a 73-9 team means two things: getting a better record or proving it was a stupid decision for both sides. Nafikiri jibu mpaka sasa unalo.
He he he..!Spot on, I actually think they are gonna prove how stupid and insignificant their decision was very soon.
It's obviously known the last season's warriors were better way than this overhyped one. Failure to ameliorate their record despite the addition of KD proves to us beyond the doubt Warriors have a slimmest chance ever to clinch the NBA victory in this June.
Hahahahahhaa ningesema neno ila ngoja... naona kuna watu hawafahamu maana ya prioritiesSpot on, I actually think they are gonna prove how stupid and insignificant their decision was very soon.
It's obviously known the last season's warriors were better way than this overhyped one. Failure to ameliorate their record despite the addition of KD proves to us beyond the doubt Warriors have a slimmest chance ever to clinch the NBA victory in this June.
Hahahahahhaa ningesema neno ila ngoja... naona kuna watu hawafahamu maana ya priorities
Kd adds toughness. Yaani pamoja na ubora wa Warriors bado kuna ile element ya mtu mmoja ambaye anaweza kwenda toe to toe na LeBron James kuondoa ile fear factor and dominance. There's no doubt that LBJ Is the best player in the world. Sasa you need someone to at least put him at bay. KD has come big kwenye games zote against Cavs and it's just that kuwa toughness ya sasa itabidi LBJ acheze beyond ukawaida kuishinda Warriors. Na jambo kubwa ni kitendo cha benchi la Warriors katika mwisho huu wa regular season hii kuanza kuwa productive ni vyema zaidi. Barnes kaongeza ugumu, Iggy anafunga pointi nyingi sasa hivi ni Shaun Livingston has been winning the matchups against smaller guards.Mkuu mimi najua umewaza hivyo kwa kuangalia current performance, hata mimi naina signature ya GSWs real kwa sasa, ile yenye KD ni timu nyingine kabisa.
Ila iwe hii au ya KD tunawakalisha tu.
Kd adds toughness. Yaani pamoja na ubora wa Warriors bado kuna ile element ya mtu mmoja ambaye anaweza kwenda toe to toe na LeBron James kuondoa ile fear factor and dominance. There's no doubt that LBJ Is the best player in the world. Sasa you need someone to at least put him at bay. KD has come big kwenye games zote against Cavs and it's just that kuwa toughness ya sasa itabidi LBJ acheze beyond ukawaida kuishinda Warriors. Na jambo kubwa ni kitendo cha benchi la Warriors katika mwisho huu wa regular season hii kuanza kuwa productive ni vyema zaidi. Barnes kaongeza ugumu, Iggy anafunga pointi nyingi sasa hivi ni Shaun Livingston has been winning the matchups against smaller guards.
Have you forgotten with KD, Warriors was the best defensive team, best offensive team, led in assists, led in steals, led in blocks and deflected passes leading to fast breaks. This has since changed since he went down. Naona hapa ubora wa Warriors unaozungumziwa akikosekana ni ile funny and free style of playing kwa sababu KD is not that guy he needs the ball in his hands kiasi. But he's been scoring 25 pts on 53.7 shooting and taking only 16 shots. Why won't you need this type of player in the team? Plus the Christmas game was for the Warriors to loose, and have you forgotten the last foul on Durant which the refs didn't call by Jefferson?Kuna uwezekano huo, ila GSWs ya KD imekutana mara 2 na Cavs na wako 1-1, kwenda toe to toe na LBJ, KD hawezi kabisa, sema kwa vile KD ni best in offense + Klay + Curry inaweza kuwapa ugumu Cavs kudefend kwa sababu kufanya coverage ya watu watatu si mchezo.
Kama Cavs wakikaa vizuri kwenye shooting tu, series inaishia game 6.
The post-season is coming, let's wait and see who is right or wrong.Only if you are blind and don't speak basketball, that's when you can overlook all these
Have you forgotten with KD, Warriors was the best defensive team, best offensive team, led in assists, led in steals, led in blocks and deflected passes leading to fast breaks. This has since changed since he went down. Naona hapa ubora wa Warriors unaozungumziwa akikosekana ni ile funny and free style of playing kwa sababu KD is not that guy he needs the ball in his hands kiasi. But he's been scoring 25 pts on 53.7 shooting and taking only 16 shots. Why won't you need this type of player in the team? Plus the Christmas game was for the Warriors to loose, and have you forgotten the last foul on Durant which the refs didn't call by Jefferson?
Kuamini Warriors can't get to game 6 sijui niiteje. Plus against LeBron, Kevin Durant averages 27.2 points per game, and Lebron averages 27.1 both with 7 rebounds a game. LeBron has a better Assists average, so you can't say KD never shows up against him. It's LeBron's all round play that made him win against KD at OKC. So we're adding this to the Warriors which can pass and whose ball movement is better than OKC and with better all players.
Only if you are blind and don't speak basketball, that's when you can overlook all these
It's KD being added to that best roaster man. Remember the shots which didn't fall for Barnes will now be executed by KD. That's a very different case and which will make Curry even free. Mwaka jana alikuwa ndo focal point and you went so hard on him na he struggled kwa sababu you could switch on him different players. This is the new task man.Nimekusoma mkuu, probably I am carried away with the fact that I love LBJ too much not to see those statistical facts.
However, I have seen you with the best record (an all time regular season record) but choked to LBJ, so all those regular statistics of yours are nothing when it comes to facing LBJ especially on the Main Stage.
It's KD being added to that best roaster man. Remember the shots which didn't fall for Barnes will now be executed by KD. That's a very different case and which will make Curry even free. Mwaka jana alikuwa ndo focal point and you went so hard on him na he struggled kwa sababu you could switch on him different players. This is the new task man.