Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Kuna watu wanajidanganya kweli kweli...endeleeni kuota ndoto! Eti kwa nini GSW walihitaji reinforcement, really? GSW hawakutwaa ubingwa kwa nini wasihitaji? Kama mabingwa CAVS imebidi watafute reinforcement kwenye lineup yao na pamoja na hilo hawaachi kulia kulia kila siku, kwa nini iwe nongwa kwa ambao waliukosa ubingwa? Ugomvi mkubwa huko Cleveland unasababishwa na whining ya the best player in the world. Nafurahi kuwa GSW hawalii hovyo hovyo kama wenzao...mtu mzima na kulia lia wapi na wapi.
Ha ha haa Raimundo na Nzi; hivi na ninyi mnalia lia kwa nini? Mnasema games za fainali hazikifi sita, sasa kulalama kote kwenu kunasababaishwa na nini kama sio woga wenu. GSW wameshajihakikishia nafasi ya kwanza West, je vipi mabingwa! Mara excuse kibao, oh preseason si chochote, tunasubiri playoffs, really? Acheni hizo, mkiwa uwanjani chezeni basketball, vilio pelekeni msibani, watu wazima hovyo...🙂🙂🙂! Mtu mzima hatishiwi nyau! Mara sijui San Antonio, mara Houston, really?