NBA 2016/2017 Season Special Thread

Regular season MVP IMO is Russell Westbrook. He deserves this than any other player.
Vegas predicted Harden is going to win..

And Vegas isn't in business of losing money..
 
Between the two who do you think deserves this award?
Averaging triple double is the only reason I'm rooting for Russ to take the award..

But man, this is very unfair for Harden, 2014/15 alikosa akiisaidia Rockets kuwa second seed na mwaka huu wote Harden na Russ wana average teams lakini Harden na Rockets wana best record kuliko Russ na OKC yake..
 
Reactions: BAK
Numbers don't lie Mkuu Russell deserves this more than Harden. Na bila performance yake sidhani kama wangefuzu kuingia kwenye playoffs.

Numbers don't lie Mkuu Russell deserves this more than Harden. Na bila performance yake sidhani kama wangefuzu kuingia kwenye playoffs.
But still Russ isn't a good teammate.. I would take Harden over him anytime, anyday..

Maskini Harden, amelazimika kucheza mpaka na injury ili tu achukue MVP this season..
 
Let's wait and see who will win this very special award. I'll be very disappointed if it is not Russell and maybe his attitude will cost him.

Rooting for him too but I will not complain if Harden wins..

Rockets has been consistent because of him all this year regarding they were 8 seed last season..
 
What difference did it make? Cavs are still a defending NBA champs, who are rooting for a back to back.
Even Warriors were last season..

Back to back?? While losing to hawks bench and beating under .500 team in double overtime??

Okay sir.... I will be surprised if u will even reach the finals man and watch out, The Bulls are 8 seed and Wade is healthy.
 
Acha fiksi mzee, AD na Boogie hawakucheza!! Sasa kwanini useme "dhidi ya Pelicans Starters"?
Hebu soma tena niliyoandika...naongelea starters wa GSW kufunga 65 na bench (pia ya GSW) kuongeza 58 na hivyo jumla kuwa 123 dhidi ya Pelicans! Hakuna nilipowataja starters wa Pelicans na sikutaja hata basket zao! The following is what I wrote;

Bench ya Warriors inaanza kuwa tishio...katika mchezo wa leo dhidi ya Pelicans Starters wamefunga 65 na Bench wamefunga 58, jumla 123.

Ngoja nikupe mfano...hebu itafakari hii sentense

Woman without her man is useless...sasa linganisha na na hizi mbili.
  1. Woman, without her, man is useless
  2. Woman, without her man, is useless
See what I mean?
 
Ungeweka koma baada ya neno Pelicans ndiyo ungemaanisha hicho unachokisema.
 
Nafikiri unatatizo la comprehension mzee!

BTW, I have been saying a gazillion time kwamba, regular season's performance doesn't matter that much. Regular season's performance doesn't determine the outcome in the playoffs.

Last year Hawks went 3-1 against the Cavs in regular season, they got swept 4-0 in the playoffs. Piston did the same, 3-1, and got swept 4-0 in the playoffs.

GSW went 2-0 in the regular season, and they lost 4-3 in the Finals.

Sielewi ni kitu gani huelewi kwamba post-season ipo tofauti sana. Most players (experienced ones) wanakuwa locked-in.

Na unachokisema kwamba you will be surprised kama Cavs watafika Finals, siyo habari mpya. Hilo linasemwa kila msimu toka Bron karudi!

So, I don't need to watch. But, you watch out!

Halafu nyiye watu uwa mnafurahisha kweli! Hivi msimamo wenu ni upi haswa? Maana mara mseme the East is weak, ati Bron ana bahati kucheza kwenye weak conference. Sasa unasema you will be surprised kama Cavs watafika Finals. Kwa hiyo East siyo weak tena ama? I hope Cavs wakifika Finals hutasema East ni weak!!
 
We jamaa naona umekomalia sana mambo ya msimu jana lakini sisi tukikomalia ya msimu 2014/15 unasingizia majeruhi..

Cavs kutokufika finals haimaanishi East sio weak. Hata hili litimu la Cavs likija West litakuwa linagombea play offs spot kama Denver na Portland..
 
We jamaa naona umekomalia sana mambo ya msimu jana lakini sisi tukikomalia ya msimu 2014/15 unasingizia majeruhi..

Cause, it is the most recent history. Cavs are THE defending NBA Champs, not GSW.

Cavs kutokufika finals haimaanishi East sio weak. Hata hili litimu la Cavs likija West litakuwa linagombea play offs spot kama Denver na Portland..

Bahati mbaya upigaji ramli siyo jambo ninaloweza kushiriki kulijadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…