Chance ya okc kumsumbua rockets ni ndogo sana Rockets wako vizuri mno na hua wakiamka vizuri 3 zinashuka kila upande
Its true but OKC weakness is Russel uhitaji wake mkubwa wa spotlight haujaisaidia timu in general sasa wewe guard 6'3 unamzidi rebound Steve Adam unataka Steve Adam afanye nini kwenye paint ukimkaba Russel vizuri akishapanic basi umewaweza OKC labda Rockets wamkosee ambapo sidhani kama watafanya makosa hayoThey say if you live by 3s you die by 3s. If they fall it is jolly good but when they don't it's a disaster. Pia kumbuka OKC will win the rebound battle which makes them very lethal within the paint.
Its true but OKC weakness is Russel uhitaji wake mkubwa wa spotlight haujaisaidia timu in general sasa wewe guard 6'3 unamzidi rebound Steve Adam unataka Steve Adam afanye nini kwenye paint ukimkaba Russel vizuri akishapanic basi umewaweza OKC labda Rockets wamkosee ambapo sidhani kama watafanya makosa hayo
Kiufupi ni kwamba kupitia hizi tabiri cavaliers lazima wafike fainali, kitu ambacho kipo wazi wala hakipingiki. Ila nna wasi wasi Spurs watatuletea usumbufu sana kama walivyofanya kwenye regular season.Utabiri wa awali...bingwa CAVS
Hii haikutokea kama alivyotegemea mtabiri huyo.
Utabiri wa pili...bingwa Spurs!
Utabiri wa tatu...bingwa Warriors!
Hawa wote wamenoa kwani Miami Heat wametolewa na seed one wa East si Cavaliers
Je wenzangu nyie mnasemaje?
Dude, ni game ya kwanza ya postseason...cha msingi ilikuwa ni kupata the W, no matter the winning margin.Hawa CAVS hawa....sijui msimu huu....