NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Portland wanakula mkono kwa mkono na GSW.
 
Leo kuna kila dalili ya kupewa kipigo...
Lakini sibanduki...
Nitaangalia mechi mpaka mwisho..!
Go Steph...
Go Warriors..!
 
NBA Video: Brad Stevens says Isaiah Thomas' "intention is to play" in Game 1 vs. Bulls after his 22-year-old sister died Saturdayvia @ESPN App http://es.pn/app
 
Hivi mimi na wewe tuko kundi gani? La mashabiki au coaching staffs na players? Hata hivyo nina wasiwasi moja, yawezekana huyo kocha wa CAVs nimeanza kufuatilia NBA kabla hajazaliwa na hivyo hivyo kwa wachezaji...sasa hapo!
Mimi ni mshabiki, ambayo nasikiliza nini coaching staffs and players wanasema. Wao wapo kwenye better positions kuelewa nini kinachoendelea kuliko siye washabiki, ambao tunatumia hisia tu.
Kwa hiyo mbona yeye ndiye kocha na wao ndiyo wachezaji wa the defending NBA champions, na siyo wewe licha ya kuanzia kufuatilia NBA kabla ya wao kuzaliw?!? Hii reasoning yako kiboko!!
 
McCollum na D. Lillard hawana support tu...sema ndivyo ilivyo...GSW wapo stacked zaidi.
Yeah Allen Crabbe angecheza kama anavyochezaga regular season kazi ingekuwepo ila playoffs sijui kwanini stage inakuwaga kubwa kumzidi
 
Back
Top Bottom