NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Playoffs zina pressure zaidi, inahitaji uzoefu kuweza kukabiliana na hizo pressure.
Exactly muangalie Durant anavyoteleza yaani 30pts zinaonekana rahisi kwake hata hajachoka. He's been at this point time and time again.
 
Lakini his kryptonite ni Bron! He and Steph are way too intimidated na Bron. Draymond hamwogopi Bron, shida hana offensive prowess ya kwenda toe to toe na Bron.

Kama Cavs na GSW wakikutana tena Finals, GSW wana chances kubwa za kushinda. Ingawa anything can happen.
 
Leo Steph Curry na Klay Thompson hawakua katika kiwango chao cha kawaida...
Naamini game ijayo watakua vizuri kwaajili ya kuimaliza game mapema...
Asante sana Draymond Green kwa kufanya niwe na usiku mzuri..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
 
C9kN3-XUwAA68Wq.jpg:large
 
Lakini his kryptonite ni Bron! He and Steph are way too intimidated na Bron. Draymond hamwogopi Bron, shida hana offensive prowess ya kwenda toe to toe na Bron.

Kama Cavs na GSW wakikutana tena Finals, GSW wana chances kubwa za kushinda. Ingawa anything can happen.
Brother...this KD means business hatakubali aibu ya kumkimbia Russell kuhamia duka la mjomba halafu akose ubingwa ikija finals akikutana na LBJ ndio utanielewa..kwanza kujifua defensively akijua kwamba atakutana na King J.
Utaona moto wake kaka hautoamini macho yako. Itakuwa ngoma kali ya kufa mtu. Cavs watakuja zote na GSW watakuja zote...no fear kaka trust me...they are fed up with the ''3-1 choking'' joke. Subiria uhondo kama wakikutana.
 
amepona ila bdo hajaruhusiwa kucheza.
Wanasema mfupa and/or muscle ulioathiriwa sio weight carrying muscle kwa hiyo anaweza kuhimili kishindo cha uzito wake japo lazima asikie maumivu kiasi. Itategemea minutes regulation recommendations za doc/fitness trainer.
 
ni kweli.. ila mwenywe anasema hackii maumivu
 
Brother...this KD means business hatakubali aibu ya kumkimbia Russell kuhamia duka la mjomba halafu akose ubingwa ikija finals akikutana na LBJ ndio utanielewa..kwanza kujifua defensively akijua kwamba atakutana na King J.
Utaona moto wake kaka hautoamini macho yako. Itakuwa ngoma kali ya kufa mtu. Cavs watakuja zote na GSW watakuja zote...no fear kaka trust me...they are fed up with the ''3-1 choking'' joke. Subiria uhondo kama wakikutana.
The same applies kwa Cavs, wakitaka ku-settle who is better. Kumbuka sasa ni 1-1. Itakuwa physical sana hiyo Finals series. Na Draymond anavyochezaga na emotions, Cavs watakuwa wakim-provoke sana.
 
Na wanampatiaga kweli tatizo akili zake kuna wakati anakuwa kama kanywa wanzuki.

Ila umeona ile stat line aliyoweka leo!? Huyu ni most important player wa GSW kwa kweli. Na CAVS wanalijua ndio maana wanamtumaga RJ na King J wakampanikishe apoteze composure
 
The same applies kwa Cavs, wakitaka ku-settle who is better. Kumbuka sasa ni 1-1. Itakuwa physical sana hiyo Finals series. Na Draymond anavyochezaga na emotions, Cavs watakuwa wakim-provoke sana.
One thing I can bet Dray wont get a Tech no Flagrant foul all this postseason..

Hatakubali kurudia makosa ya mwaka jana..
 
Back
Top Bottom