NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

One thing I can bet Dray wont get a Tech no Flagrant foul all this postseason..

Hatakubali kurudia makosa ya mwaka jana..
Kaka, kwa anavyochezaga kwa emotions, he is prone to get them! Wapinzani watatumia hilo kumchokoza. Hivi ana tech na flagrant fouls ngapi kwenye regular season?
 
Hopefully....he did cost them a championship.
Hii pia ni moja ya sababu ya kufanya Cavs vs. GSW Finals kuwa ya kukata na shoka! Kila upande una excuses za kupoteza Finals. Sasa kama mwaka huu kila timu ikiwa healthy na full squad, basi nani mtabe.
 
Yes sir...let the hunger games begin. Kill or get killed.
 
Kaka, kwa anavyochezaga kwa emotions, he is prone to get them! Wapinzani watatumia hilo kumchokoza. Hivi ana tech na flagrant fouls ngapi kwenye regular season?
Ana Tech 14 na Flag 2.. amekuwa ejected mara moja tu.. Lakini hayo hataruhusu kuyafanya kwenye postseason. He knows the cost..
 
Such a looooong Easter weekend, sleepless nights has begun..

Who are u rooting? Bulls vs Celtics...
Am for Celtics....the biggest little guy just lost his kid sis. So am supporting the [HASHTAG]#ThisIsForChyna[/HASHTAG] movement.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yeah Allen Crabbe angecheza kama anavyochezaga regular season kazi ingekuwepo ila playoffs sijui kwanini stage inakuwaga kubwa kumzidi
Kwamba kuna watu walikuwa wanasubiri Warriors wapoteze mchezo kwa Trail Blazers! Jamani kwa mambo mengine tuache utani. Eti Allen Crabbe angecheza anavyochezaga GSW wangefungwa...duh! First seed anakutana na last seed na wapo watu wana bet kwa last seed, kama huo si utani ni nini nambieni! Si ajabu kuwakuta watu kama hao siku wakienda Las Vegas ni furaha na kicheko njia nzima...shuhudia siku ya kurudi, ni huzuni na kilio utadhani wamefiwa ha ha haaa!
 
first seed or last seed r just numbers.. celtics are trailing ryt now
 
first seed or last seed r just numbers..
Just numbers? Oh well, numbers matter!
images

celtics are trailing ryt now
Celtics? Who are Celtics?
 
Mie pia ni shabiki tu ila nataka sana Celtics washinde ili round ya pili kama watafika huko kuwe na ushindani zaidi. Hawa Bulls bado nawaona ni nguvu ya soda pamoja na kuwa tuko kwenye playoffs.

kama kawa.. ila hapa cna side mi naangalia tu talents.
 
Mie pia ni shabiki tu ila nataka sana Celtics washinde ili round ya pili kama watafika huko kuwe na ushindani zaidi. Hawa Bulls bado nawaona ni nguvu ya soda pamoja na kuwa tuko kwenye playoffs.
mayb celtics walijiamini sana ndo mana wakaluz, but bulls hawako strong kivile.
 
Back
Top Bottom