NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

You still bitter?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Record breakers....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na bado...there's more where all that came from, just wait and see!
 
Na bado...there's more where all that came from, just wait and see!

Msimu huu mtaweka rekodi gani?

74-8 na ubingwa juu?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
You still bitter?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Record breakers....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bitter? Wrong, I am exhilarated! GSW 2016/2017 is scary, yeah, very scary...

maxresdefault.jpg
 
Anahitaji sana msaada wa kisaikolojia na asisahau wakati ni ukuta! Nidhamu anayohitaji si ndogo na umri ndio hivyo unakwenda. Making a comeback ain't easy and he has only two years to prove himself otherwise he better forget it and start concentrating on other things.
Umesoma hiyo link lakini?
 
Umesoma hiyo link lakini?
Naam, nimesoma Frank Matrisciano na Milt Newton walivyojitolea kumsaidia...swali ni je hiyo nidhamu ataiweza? Je kuna chochote alichojifunza kwa muda aliokaa nje ya NBA. Kama kweli ameamua namtakia kila la heri lakini kama ni ukata ndio unamtuma hatafika mbali.
 
Hata 73-9 ilianza hivo hivo😀😀😀😀😀😀

Hujawahi ona siku inaanza na jua na kuishia na mawingu, mvua, na radi?

Why are you panicking my friend...usiwe na wasi wasi, tip-off October 25!​

1617schedulerelease-1280.jpg
 
Why are you panicking my friend...usiwe na wasi wasi, tip-off October 25!​

1617schedulerelease-1280.jpg

Where is the panic?

You better go get your eyes checked at Veo Optics before the 25th rolls around😎
 
Back
Top Bottom