NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

tehteh...typical Curry
i
 
AD does pretty much everything.........
 
Game ya OKC na Suns ilikuwa moto... Nasubiri November 3 nione Russ akilipa kisasi kwa KD
 
Haha Tripple double,good perfomance future MVP
44 Attempts... Kila superstar NBA akifanya attempt kama hizo lazima afunge hizo points na zaidi.. Kudos kwenye assist na rebounds. Lakini kumwacha Russ afanye kila kitu ndiko kunawacost OKC..
 
44 Attempts... Kila superstar NBA akifanya attempt kama hizo lazima afunge hizo points na zaidi.. Kudos kwenye assist na rebounds. Lakini kumwacha Russ afanye kila kitu ndiko kunawacost OKC..

Baada ya Kd kuondoka inabid iwe hivyo tu mkuu,hakuna namna russ inabidi atumike.

Kwenye assist na rebounds sijaona mpinzani wa huyu jamaa
 
Baada ya Kd kuondoka inabid iwe hivyo tu mkuu,hakuna namna russ inabidi atumike.

Kwenye assist na rebounds sijaona mpinzani wa huyu jamaa
Kwenye Assist na Rebounds hujaona kwenye timu yake sio NBA yote.. Assist kuna Rondo na kina John Wall... Rebounds ndio usiongee kabisa.. AD pekee amepokea rebounds 19 leo kama sijakosea
 
But, Warriors have had a poor 3 points shooting % in the 1st two games! 21 and 32 percentages in the 1st and 2nd games respectively.
You are very right...........It happens once in a while.........they will get their groove back,and all rivals will have to ''seek for asylum''
 
Westbrook and A. Davis are in beast modes
The Question in everyone's mind:''Will they keep up the momentum?''..With depleted rosters,I dont think so........I hope they prove me wrong anyway...
 
Warriors watakapotulia baada ya kufahamiana vizuri kimchezo, watakuwa tishio kuliko hata mwaka jana.
I was impressed with Looney's effort down low...The kid is very promising...
 
Haha Tripple double,good perfomance future MVP
He is in the race.....putting into consideration he has all the freedom and time to do whatever he wants ''Mr.Give Me The Ball & Get Out My Way''.........44 FGA Tonight...
 
Back
Top Bottom