NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Kwa wale wapenzi wa NBA kuna game muhimu sana za kuangalia usiku huu;

Cavs (reigning champions) vs LAC na GSW (1st runner up who lost the 3 - 1 lead) vs Houston Rockets.

Pamoja sana wakuu.
 
CAVs mkae chonjo Sana ma hao vijana WA Lakers, hawatabiriki kirahisi. GSW nao wawaangalie sana Houston, huyo madevu kwa sasa anatisha kidogo na wakicheza kama juzi wamelala. Hata hivyo nadhani leo tutashuhudia michezo mizuri.
 
Kwa wale wapenzi wa NBA kuna game muhimu sana za kuangalia usiku huu;

Cavs (reigning champions) vs LAC na GSW (1st runner up who lost the 3 - 1 lead) vs Houston Rockets.

Pamoja sana wakuu.
Toa Link ya kuangalia mechi hizi mkuu
 
Kwa wale wapenzi wa NBA kuna game muhimu sana za kuangalia usiku huu;

Cavs (reigning champions) vs LAC na GSW (1st runner up who lost the 3 - 1 lead) vs Houston Rockets.

Pamoja sana wakuu.
Sawa mkuu...
Naona juzi ulirambishwa mchanga na King akiwemo kikosini...
Ahahaaaaaaah...
Raha sana..!!!
 
15319206_10154563266256006_2671495814788199393_n.jpg
 
Jameni...
Mbona kimya humu..!?
Au ndio kusema wote kwa pamoja(GSWz na anti-GSWz) tunaisubiri game ya GSW vs Rockets..!?
Ahahaaaaaaaaah...
Raha sana..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
 
Somo wanalotoa Clippers kwa CAVs limetunyamazisha ndugu yangu. Ingekuwa GSW ndio wanapewa somo saa hizi humu kungekuwa hakukaliki. Mabingwa wanakung'utwa Nzi na Raimundo wako poa tu...sijui wamepigwa ganzi! Jamani ni mchezo tu, acheni hizo...Clippers...110, CAVS... 86 na dakika zilizobaki ni mbili tu...!
 
Mkuu wewe siyo mgeni kwenye hizi mechi, nadhani unakumbuka last time niliwahi kukwambia lengo letu ni ubingwa na siyo regular games record.

Kwenye regular season sisi tunalenga kuingia tu kwenye playoffs, basi.
 
Kwani GSW lengo lao ni nini..!?
 
Somo wanalotoa Clippers kwa CAVs limetunyamazisha ndugu yangu. Ingekuwa GSW ndio wanapewa somo saa hizi humu kungekuwa hakukaliki. Mabingwa wanakung'utwa Nzi na Raimundo wako poa tu...sijui wamepigwa ganzi! Jamani ni mchezo tu, acheni hizo...Clippers...110, CAVS... 86 na dakika zilizobaki ni mbili tu...!
Ahahaaaaaah...
Mkuu...
Kuna watu huwa siwaoni humu jukwaani mpaka GSW afungwe..!
 
Kwahiyo hata GSW akifungwa kwenye regular season haitakiwi kuwa MADA kubwa...
Coz GSW pia wanalenga kuchukua UBINGWA..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]

Nani kakwambia GSW inalenga kuchukua ubingwa?
 
Kwahiyo hata GSW akifungwa kwenye regular season haitakiwi kuwa MADA kubwa...
Coz GSW pia wanalenga kuchukua UBINGWA..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
Hapana, sivyo wanavyotaka wapenzi wa the King...kwenye regular Raimundo hajali sana hata kama timu yake inafungwa ila GSW ikifungwa ni big big day kwake.
 
Back
Top Bottom