Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao splash brothers hupokezana, siku wote watakapokuwa onfire sijui itakuwaje. Nadhani siku hiyo ile namba anayoiogopa Raimundo itafikiwa...that magic number 200!Klay Thompson yuko on fire...
Nategemea kuona Steph Curry anakuja na moto mkali third quarter...
Final score itakuwaje..!?
Muda utaongea..!!!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
Angeweza kufikisha hata 100 aisee!Inabidi kocha asimtoe afikishe 70 aisee.
Angeweza kufikisha hata 100 aisee!
Hivi, kwa mfano tu, unadhani angefunga ngapi kama angecheza hadi mwisho...70, 80 au 100?Sawa mkuu, au hata 200.
Hivi, kwa mfano tu, unadhani angefunga ngapi kama angecheza hadi mwisho...70, 80 au 100?
Agreed...yapo mambo na ingawa ni rekodi lakini kusema kweli hayaeleweki kirahisi...wenzetu hufika mbali na kuita ridiculous! Mfano mzuri ni huu wa walioongoza kwa ufungaji katika mchezo wa NBA 5/12/2016 kama inavyoonekana hapa chini...;
- Klay Thompson (GSW) 60
- Lou Williams (LAL) 38
- James Harden (HOU) 37
- LeBron James (CLE0 34
- Dwayne Wade (CHI) 34
Fikiria pointi 60 wakati anayekufuatia unamzidi kwa pointi 22! Hapana, hii si bure na haiwezekani labda kwa miujiza tu.
Hahaha illuminati confirmed.