George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Ahahaaaaah...Haya leo ndio leo, je George Betram upo?
Leo nimefurahi sana mkuu...
Ingawa sijaangalia game,ila vijana wamenifurahisha kwakweli...
Ila kwanini Steve Kerr huwa hapendi kuwatumia mastaa wake katika quarter zote..!?