Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana. Huu mchezo nao unatutesa kuamka. Mm leo namizuka na game ya miami heat. Ngoja nizugezuge na hizi game kwanza.Nina flip huku na kule Mkuu, ambayo itanivutia nitatulia nayo.
Interesting....
Are Cavs over dependent to the King? The Land was saved in a typical playoff seekers performance
View attachment 475293
GS wanakuwa wazuri sana third quarter mara nyingi wanafunga point nyingi kuliko quarter nyingineKuna game nzuri kati ya Wizard na GSW bado dakika 3 quarter ya tatu Wizard 79 GSW 76.
GS wanakuwa wazuri sana third quarter mara nyingi wanafunga point nyingi kuliko quarter nyingine
LBJ is very durable, he rarely gets injured, maybe he's lucky, maybe he knows how to take care of his body or he's just a freak of nature.
Maajabu!! Sasa mnavyosemaga kwamba Bron hawezi kitu mpaka awe na superstars behind him, uwa mnamaanisha nini? Maana kama timu ipo over dependent on him, inamaana bila yeye Cavs si kitu. You need a stance you [HASHTAG]#BronHaters[/HASHTAG]Are Cavs over dependent to the King? The Land was saved in a typical playoff seekers performance
Kweli, Bron anafahamu namna ya kutunza mwili wake. Anatumia fedha nyingi kufanya hivyo. Anafahamu mwili wake ndiyo mtaji wake.LBJ is very durable, he rarely gets injured, maybe he's lucky, maybe he knows how to take care of his body or he's just a freak of nature.