NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Time for some excuses
0e5c405302cfb5849d06e879b4532651.jpg
 
Hebu soma tena niliyoandika...naongelea starters wa GSW kufunga 65 na bench (pia ya GSW) kuongeza 58 na hivyo jumla kuwa 123 dhidi ya Pelicans! Hakuna nilipowataja starters wa Pelicans na sikutaja hata basket zao! The following is what I wrote;

Bench ya Warriors inaanza kuwa tishio...katika mchezo wa leo dhidi ya Pelicans Starters wamefunga 65 na Bench wamefunga 58, jumla 123.

Ngoja nikupe mfano...hebu itafakari hii sentense

Woman without her man is useless...sasa linganisha na na hizi mbili.
  1. Woman, without her, man is useless
  2. Woman, without her man, is useless
See what I mean?
Hili jukwaa huwa najifunza mengi sana..!
 
The west is loaded and unpredictable...I'd not put my money on them...Would you mind telling me your remaining 7?

It is unpredictable for sure, but I can see them making it to playoffs.

Other seven: GSW, SAS, LAC, OKC, Houston, Mephis and Utah; sorry for Portland as I could not find a place for them though they might take Houston/Utah's chance.

Tyta kwenye play off lists za west nilizopredict ni Lakers only ndo hakuingia, na nafasi yake imechukuliwa na Portland Trail Blazers.
 
Tustuane wadau play off ikianza. Maana kunawatu walijifanya wanakusanya nguvu. LET'S GO BLAZERS
 
Back
Top Bottom