Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Huyu mzee anafurahisha sana...anyways ni vizuri anachangamsha jukwaa.
Ha ha ha, jamaa anachekeshaga jukwaani kwa posts za vijembe vijembe.
Raimundo, amini usiamini, mmewazuia wapenzi wengi wa GSW kuposti...labda unasahau mlivyolikimbia jamvi nyakati zilee...eti wapenzi wa [HASHTAG]#TheDubNation[/HASHTAG], hawataki kuwapa nafasi mpumue, ebo! Nzi tulilazimika kumtafuta kwa udi na uvumba kumbembeleza arudi kwa ahadi kuwa tungepunguza mahaba na wewe mwenyewe ukabaki kuchungulia tu na kusepa. Mimi na wenzangu tukaamua kuwaacha mpumue lakini ona sasa...kweli masikini haokoti, akiokota matako hulia mbwata! Ha ha haaaa..mbavu zangu!Jamaa analilia kupendwa...Naona Mag3 kapata mfuasi, maana naye ndo anaongoza kwa kulia eti kwa nini hatuipendi GSWs...Eti GSWs tunawazuia kupost au mnaona aibu kupost!