Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
They sound defeated...ila uzuri wa Bron siyo rahisi kumvimbisha kichwa kwa maneno hayo ya kumpamba. Kama Raptors wanahisi ku-play mind games kutam-slow down Bron, wamechemsha.
No way he is slowing his game kwa hayo maneno, wakae wakijua yeye anawaza sweep, wakishangaa shangaa watashtuka series imeishia Toronto.