BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
- Thread starter
- #2,441
Mkuu ongeza masaa 7 kwa maskani ya mtaani kwetu. Kwa mfano hii mechi ya leo ambayo itaanza 9:00pm ET ukiongeza masaa 7 basi kwetu itakuwa 04:00am. Nadhani umenielewa.
Mkuu ungetuwekea hii ratiba kwa muda wetu wa huku kigoma ingekua poa sana
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app